Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Wanaume wa kiafrika asili yao ni kugandamiza wanawake kila kitu aamue yeye mali azifuje, tendoo la ndoa apange yeye , chakula kizuri apewe yeye.

Wanawake walioenda shule na wasomi wengi wamefundishwa haki za wanawake kupitia mfumo wa nchi za kimagharibi hivyo wanajitambua halafu wamejikomboa kiuchumi wana sauti ya ukombozi kupitia pesa zao hivyo hawapendi kubabaishwa na kiumbe mwingine.

Si kwamba hawapendi mahusiano la , ila wanaume wenyewe hukosa kujiamoni na kujiweka mnyonge akitaka mwanamke ambembeleze kila muda na kusahau kwamba nae ni jukumu lake so manzi anaona kama anazingua anampotezea na kutafuta mwingine. Ukiwa na pesa hakuna kinachoshindikana vijana wanapenda mserereko wanajipeleka wenyewe.

So maisha ya wanawake wasomi huenda kimtindo huo, hayataki stress, jamii inawanyanyapaa na wao wanashika 50 zao.
Ni kweli
Hawapend kujishusha,wanataka kuwa last say, nobody last them, nobody after them
 
kweli mkuu,mimi nina jirani yangu nyumba ya pili hapa ni Dr.
madirisha yanatazamana analala peke yake pia,ila ana watoto watatu wamepishana mwaka mmoja mmoja!
Ww unatoka kazini mke ndo anajiandaa kwenda kazini
 
97% ya manesi wameolewa tena nahisi watu wengi wanawpenda sna kuoa hawa watu.
Sio sahihi. Walimu wanawake ndio wanaongoza kwa kuolewa. Kutokana na kazi yao ya malezi ya watoto na pia wanapata muda mwingi wa kukaa nyumbani na familia zao. Ni kweli wanaume wengi wanaogopa kuwaoa manesi kutokana na kazi yao, mambo ya rosta. Wakati mwingine anatakiwa kuwa kazini usiku, wakati mwingine wanadanganya wameenda kazini kumbe. Ukikuta nesi kaolewa mara nyingi kaolewa na Daktari.
 
Ni vigumu sana mwanaume kuoa mwanamke ambaye anajua uhakika wa kugongewa ni mkubwa. Wanaume wengi huwa na hofu.
 
Habari wana Jf Ramadhani Kareem
Nashangazwa sana kwani asilimia kubwa ya wanawake aina huwa hawapo katika ndoa japo wapo katika mahusiano
Na wengine wana watoto kabisa na kama yupo anaeishi na mwanaume Ni wanaishi tu pasi na ndoa je ni nini sababu ??
Hizi ndo aina hizo
Wanawake wasomi
Manesi
Maaskari
Wanajeshi
Dereva
Machine operated
Wanasiana
Wanamiziki
N.k. na kama akiolewa hachukui mda kuachika
Yaani Mwanajeshi ni kaz sana kuwa nae mm mwenye nilkuwa nae akanizingua kabla hata ya kumtia ndani
 
Back
Top Bottom