Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Wanajeshi umewaonea kabisa mbona safi sana na nidhamu nzuri kabisa
Walinzi hao, siku akienda kulisha mbu
Cjui mnaita lindo mwanaume unalala peke yako. Cwez oa mtu mwenye asili ya uaskari.
 
Na mara nyingi sana wasomi wakubwa hupenda kuoa form four leaver halafu wale wa kawaida sana kwa uzuri. Nina rafiki yangu kipenzi baba yake ni profesa lakini mama yake ni form four failure. Juzi pia nimemtembelea Mwanafunzi wangu ambaye baba yake ni profesa , mama yake alivyo HUWEZI amini kama ni mke wa profesa. Kifupi wanawake Wazuri, wanawake wa kidigitali na wanawake wasomi ni wa kulamba tu wengi sio wife materials.
inferiority complex
 
Labda wewe ndio hujaoa aliyepo kwenye kundi hilo. Na pia kuoa au kuolewa ni maamuzi ya mtu binafsi na hayapaswi kuingiliwa...
 
Back
Top Bottom