Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Umewasahau wale waliosomea sheria!!! duh! pasua kichwa ukipishana naye tu iwe kwa maneno au vyovyote vile anakusomea kifungu!!
 
Na mara nyingi sana wasomi wakubwa hupenda kuoa form four leaver halafu wale wa kawaida sana kwa uzuri. Nina rafiki yangu kipenzi baba yake ni profesa lakini mama yake ni form four failure. Juzi pia nimemtembelea Mwanafunzi wangu ambaye baba yake ni profesa , mama yake alivyo HUWEZI amini kama ni mke wa profesa. Kifupi wanawake Wazuri, wanawake wa kidigitali na wanawake wasomi ni wa kulamba tu wengi sio wife materials.
 
Nilishangaa nilipoenda shule moja nikakuta kati ya walimu wanawake 15 waliolewa ni wawili tu

Wengi wameishiwa kuzalishwa tu. nilijiuliza sana .watu sijui wanawachukuliaje wanawake walioenda shule

Tatizo la wanawake wasomi Kujifanya wajuaji kwenye kila kitu.Kukusoa mbele za watu haoni haja anakuabisha mchana kweupe hasa kwa watu kama sisi tulioshia la 2 B
Wewe ni nani usikosolewa...kaoe mmangati
 
Kwa mfano ukioa mwanajeshi ni changamoto zipi ambazo unaweza kukumbana nazo kutokana na nature ya kazi yake?
Au siku akitaka kulala nje ya nyumba atakuwa anasema ana zamu ya usiku!
 
Msije kuwafanya watu waache wachumba wao kisa maoni ya wachangiaji. Maana kuna vingine ni ukweli kabisa kwa baadhi ya kada hivyo inabidi uyajue yanayoweza kujitokeza pindi utakapomuweka ndani ili ujiandae kuyakabili au kuyavumilia.
 
Mtoa mada umefikir sawa sawa cuz hawa Dada ze2 waliopita skuli sometimes huwa wanazingua sana,nilisoma nao Grade 'A' pia Dree nilisoma nao vlevle so,I know them much.Ni wachache sana wanaojitambua na wenye maadili
 
machine operated na wanasiana naomba ufafanuzi hapa maana sijaelewa ni watu wa namna gani hawa
 
Na mara nyingi sana wasomi wakubwa hupenda kuoa form four leaver halafu wale wa kawaida sana kwa uzuri. Nina rafiki yangu kipenzi baba yake ni profesa lakini mama yake ni form four failure. Juzi pia nimemtembelea Mwanafunzi wangu ambaye baba yake ni profesa , mama yake alivyo HUWEZI amini kama ni mke wa profesa. Kifupi wanawake Wazuri, wanawake wa kidigitali na wanawake wasomi ni wa kulamba tu wengi sio wife materials.
Wel said mkuu uko sahihi kabsa, wanawake wa dzain hyo wana nyodo sn na ukijiingza mkenge ukioa ujue miaka mi5 haifk mshaachana na mcpoachana mtakua mnalala km dada na kaka.
Nna evidence nyng from ma friendz
 
Back
Top Bottom