leaderofleaders
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 134
- 162
Hawa tatizo lao ni ujuajiujuaji.Wanasheria nao
Hawa tatizo lao ni ujuajiujuaji.Wanasheria nao
Ndio maana Tanzania uchumi umekuwa ovyo. .
Wanaume baada ya kutafuta pesa, wamekuwa wambea wanadiscuss wanawake

Tatizo lipo kwa wanaume wenye vyeti feki.. Wale wenye elimu halali hawaogopi kuoa mwanamke msomi... Maana watabishana kwa hoja
vyeti fekiAmegusa nyetiWewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?

Unaposema " kama sio mke wa professor" una maana gani hapo? Kwa haraharaka ylimuiba kuwa vulnerable. Is she happy? Labda kujiuluza wanaooa wa firm 4 maprofessor are they really happy? Mjadala huu ni mpana n ni vema kuja na data as nawafahamu Lecturers wengi wameolewa na wenzao. Maengeneer wameokewa nk. Usigenerilize. Kama unataja oa wa form 4 hukatazwu lakini walio oa nao wana changamoto zake ambazo sitazitaja hapa. Wengine hushindwa hata kwenda nao sehemu hata kuwatambuliaha sasa hiyo ni ndoa kweli? Kutokuwa proud na mkeo si tatizo nalo kweli? Wengine huwa-treat kama maids tofauti tu wanapata watoto pamoja. Na hizo defination ya wife material inaweza kuwa questionable. Wazazi wangu walioana wasomi na ilikuwa perfect marriage sijawahi na sidhani kama nitakuja kushuhudia.Na mara nyingi sana wasomi wakubwa hupenda kuoa form four leaver halafu wale wa kawaida sana kwa uzuri. Nina rafiki yangu kipenzi baba yake ni profesa lakini mama yake ni form four failure. Juzi pia nimemtembelea Mwanafunzi wangu ambaye baba yake ni profesa , mama yake alivyo HUWEZI amini kama ni mke wa profesa. Kifupi wanawake Wazuri, wanawake wa kidigitali na wanawake wasomi ni wa kulamba tu wengi sio wife materials.
Mkuu alikufanyia nini? Tupeane uzoefu ili kama ni kutua basi tufanye maamuzi magumu kabla hatujaingia mikataba itakayokuja kutufunga baadae!Yaani Mwanajeshi ni kaz sana kuwa nae mm mwenye nilkuwa nae akanizingua kabla hata ya kumtia ndani
Mkuu alikufanyia nini? Tupeane uzoefu ili kama ni kutua basi tufanye maamuzi magumu kabla hatujaingia mikataba itakayokuja kutufunga baadae!
Mbna povu?!Wewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Hahahahahah kama sababu ndio hiyo basi alistahili alicholipataHa ha a alifumaniwa akapigwa kerubu na vitasa vya kufa mtu
hatasahau mpaka anakua marehemu
Kweli kabisa.. Sio kila mwanamke anapenda kuolewa. Wengne hawapend kubanwabanwaWewe fuata yako mkuu! Kutokuolewa kwetu ina hasara ganikwako?
Hapana wanakua wanakulinda wewe wakati umelala unajamba jamba huku unanyonya kidoleWalinzi hao, siku akienda kulisha mbu
Cjui mnaita lindo mwanaume unalala peke yako. Cwez oa mtu mwenye asili ya uaskari.
Wakili katika ubora wakoWanajua nini?
Naona ujumbe wangu kwa jirani yangu umekuwasha sana!
Hongera