Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Natamani nipate mwanaume alienizidi kila kitu,kuanzia umri,elimu na pesa....
Otherwise huwa najisikia kuna kitu sio okay..

Tupo sawa ..anipite kwa kila kitu hapo ntakuwa na furaha
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Nisikufiche dada yangu hua hakuna uwiano wa mapenzi ukijihusisha na mwanamke anaejiweza au kukuzidi kipato.90% ya wanawake wenye uwezo huwa wanadharau hivyo mnakua hamshikiki na nyinyi ndio watoa maamuzi.hilo ndio tatizo
 
Dada mtoa mada unasema wanaume acheni kula kulala,sasa je? Wewe ukila unakesha?
Kumbe wewe ukila hulali? Pokea like mia.
 
The problem is not on men but is on your behaviour when you are financially stable.#JIANGALIENI
Wengi mkipata Mata.k.o hulia.....
 
Hayo ya kizamani. Wanawake vibosile wapo easy sana, ukimtokea kama anakuzimia huwa hana time ya kukupiga chenga.
They know what they want and not afraid of failure. Thats why they are bossy.
sawa sawa, wapo easy sana si kwamba akikukubali fasta ndo unaona et kama wapo eeasy, ni sababu wanaume wengi wanawaogopa kuwatongoza. yaan mtu anakaa miez 6 hajawahi tongozwa. sasa we ukitia neno anaona kama bahati vile fasta anakubali.

lakin mwanamke mzuri anaetongozwa kila siku hawez kukubali kirahisi. kalaghabaho
 
She wakumuoa ni yule anayenizidi idadi ya matobo mwlini.Baaasi.

Akikuzidi Mali au Elimu tegemea usiyoyategemea wana nyodo hao!!

Nimeshuhudia kwa macho yangu.
 
I like the power money brings.

Man if you feel inferior because of what I have then too bad, I can't help you.

Confidence in a man is sexy.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wa kitanzania hawajiamini, na hii inasababisha kuwapa nafasi baadhi ya wanawake waliojikwamua kuwaongoza.
Lakini bado kuna wanawake waliojikwamua kimaisha na wananaheshima sana na utii kwa wanaume zao regardless the status.
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

Veri truu. Wanaume kubalini mabadiliko. Sote tunahangaika huko vibaruani kujiendeleza. Mkitupenda msiangalie hayo mambo
 
sawa sawa, wapo easy sana si kwamba akikukubali fasta ndo unaona et kama wapo eeasy, ni sababu wanaume wengi wanawaogopa kuwatongoza. yaan mtu anakaa miez 6 hajawahi tongozwa. sasa we ukitia neno anaona kama bahati vile fasta anakubali.

lakin mwanamke mzuri anaetongozwa kila siku hawez kukubali kirahisi. kalaghabaho
Kupotezeana muda ndiyo kunakera.
Mwanamke kibosile anajua anachotaka mradi tu akupende. Anaweza akawa mzuri lakini akigundua kuna chemistry hasiti kukupa chance. Ukiharibu hasiti kukutosa vilevile.

Nina maisha yangu nalipa bills zangu, fridge imeshona, mchuma haukosi wese na sijali kipato au cheo cha mwanamke. Akiwa na pesa au la mradi kuwe na chemistry. Ila from experience, kuna wadada wanajua wanachotaka na huwa hawana chenga na wengi wa aina hiyo wamesoma, wana kazi na kipato kizuri.

Kama jeuri, wapo wengi uswazi wana jeuri sana na usipomtumia hela ya vocha tu, matusi. Na wqapo wanaotongozwa kila saa na hawasiti kuachia mradi offer ziwepo.
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
Kawaida ya mwanaume yoyote anakawaida ya kuangalia hadhi yake na mwanamke anaetaka kumtongoza. na mwaume hapendi xana kudhalilika mfano wanawake ambao ni shida kuwatongo (1) alikuzidi kipato (2) mke wa mtu (3) mzuri sana hofu ni kuzalilishwa japokuwa tupo wanaume wachache sana majasili
 
Ukweli tatizo lipo kwenu hamjitambui,ukishajiweza kuliko mwanaume unataka uwe boss ndani.binafs nilishampata moja kanizdi kila kitu kuanzia elimu mpaka hela sawa tulipendana tatizo likaanza mimi nikimpigia cim mara nyingine hapokei badae anakupigia oh rory nilikua bize mpenz wangu.mimi namuelewa.yeye apige uspokee unanuniwa wiki mpaka umbembeleze.funga kazi akawa anataka mimi ndo nikaish kwake baada ya ndoa nikaona haya nimajanga
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

we unadhani nikikwambia kitu utanisikiliza wakati we ndo mwenye hela?
 
Inawezekana labda huna viwango vyao. Na si unajua mwanaume ni kama fisi, hakatai nyama. Pesa zako hazimaanishi unakuwa ndoto ya kila mwanaume
 
Aaaanh sijawahi kuogopa mwanamke hata siku moja!!!!!
Hata awe na nini nikimzimika akikaa kwenye mingo ataitikia chorus tu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom