Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

illuh amuchelewi kurudi usiku kisa vijisenti
Kwa mimi binafsi siwezi ishi na mwanamke kanizidi by any means lazima ni hustle hard
 
Last edited by a moderator:
Poverty mentality hizi eti ukiwa na gari unaogopwa...gari si kama viatu tu? Zamani wabongo hata simu tuliona ni asset na ujiko tumezoea sasa..bado magari..


Umerudi? Karibu mwaya.
 
tatizo baadhi wanawake wengi wenye kipato cha juu ni wajeuri. Viburi .zarau.michepuko na kila aina ya balaa
Nahuu ndio ukweli wenyewe wakubali wakatae ni wachache sana ambao hawako hivi,ukiongeza na elimu yake tena ndo usiseme!
 
tatizo huwa liko kwenye management, who will be the voice?.. always a man will force to be, but how? the sterling is under the woman side, can you bark to her?. wont you be pushed out?!

ongea kiswahili Excel teh teh
 
I wish kama culture ya Waafrica ingebadilika....Wanawake tuonekane na sisi tunahaki ya kutongoza...Ukitongoza huonekani changu
 
Wanawake wakipata Vijisumni wanajiona ndio kila kitu wakiwa kwenye Jeep kama la kokutana utamtaka? Au kwenye Envoque kama ja jidee si utasugua gaga kumpata?
 
ingekuwa ukitongoza huonekani tofauti...angalao ungeangalia mwanaume unayempenda ukampa darasaaa wkt unamtongoza...Ila kwa vile wanaume ndio wanatongoza basi inabidi tutulie tuwasubirie waje hata km ni miaka kumi...Wanaoogopa kukutongoza sababu uwaache tuu..
 
Sio kuwa nimemalizia vibaya....Km ilivyo binadamu, unahitaji kula, kunywa, kulala...Pengine tuna nyumba ya kupanga, tunahitaji kula, nk....Kweli kuna wanaume ambao hata kujishughulisha hawataki...Wao wanataka wakiamka wakae kijiweni..hiyo siyo....Km umempata mwenzio ambaye maisha amejitahidi basi we mwanaume na wewe jitahidi kupiga madili huku na kule japo uongeze vijisenti...Sasa ukimtegemea tuu mwanamke aaahhh...Si vyema ipo siku pia mwanamke kweli atachoka kukuletea tuu japo kakupenda....Siku hizi hakuna cha ugolikipa katika maisha...
 
tatizo huwa liko kwenye management, who will be the voice?.. always a man will force to be, but how? the sterling is under the woman side, can you bark to her?. wont you be pushed out?!

Bila shaka
 
Mwanamke akishika pesa anakuwa na dharau na anasahau kuwa ni mwanamke hvo wanaume ambao wanatamani kuwa na familia bora hupenda wanawake wanaotambua kuwa baba ni msimamizi mkuu wa familia na ndiye mwamuzi wa mwisho. MWANAMKE anayebisha hili Kwa namna yoyote Ile hafai kuwa mke wa mtu kwkuwa hakubali nafasi yake.. Hiyo ni order toka Kwa MUNGU ukibisha kumbatia ushetani wa mwanamke kuishi ki free "mason"
Japo siyo wote lakini uzoefu unanionesha wengi wapo hivo
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
hakuna mwanaume anayependa dharau hata siku moja tatizo lenu mkishashika visenti jeuri zinakuwa nyingi na michepuko ya kutosha
 
Ni hofu tuu ya wanaume wanahisi hawatakuwa na power ya kukucontrol na kila mwanaume anapenda kuwa na sauti katika nyumba
 
tatizo baadhi wanawake wengi wenye kipato cha juu ni wajeuri. Viburi .zarau.michepuko na kila aina ya balaa

KUNA JAMAA KAWEKA MIKONO KICHWANI MPAKA KESHO JIONI.:embarassed2:
 
Word....

illuh mpenzi anayekuogopa hakufai, ukimchunguza sana atakua na tabia za kibabe, kupenda kuabudiwa, jeuri na dharau kwa wanawake......
Mwanaume anayejielewa na kujitambua ataendelea kuheshimika na mke wake katika hali yoyote (awe na elimu au asiwe nayo, awe na mali au asiwe nazo ataheshimika tuu) na wala mwanamke hatoona kwamba amemzidi kwa chochote
 
Back
Top Bottom