Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuuza nyama buchani?

Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni

Nyama tamu moja waliyonayo tokea Kuumbwa Kwao inatosha kama wakiamua Kuiuza, hivyo zingine zilizobaki haziwafai na wangeziuza ingeonekana kuwa wana Tamaa na kwamba wanataka Nyama zote tu wawe nazo Wao kitu ambacho si Kizuri na ungekuwa ni Uchoyo na hata Mwenyezi Mungu nae hapendi Uchoyo kwa Wanadamu wake wote aliowaumba / aliotuumba.
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
Wapo sana. Njoo kwetu Njombe kijiji cha Ilembula wamama wanamiliki bucha za kitimoto na wanachinja wao na kuuza. Pathetic
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
Mkuu unataka wauza nyama nenda sinza mori or buguruni kimboka wako mademu kibao wanaouza nyama
 
Hapa jirani tu huku Kwamtogole kuna butcher ya mu-Irish na katika wahudumu yuko mdada
 
Hizi ni tamaduni tu waliojiwekea wao na kuona hawawezi vitu vingi
Lakini mataifa mengine wanawake wako sambamba na wanaume kwa kazi nyingi sana ambazo zamani walikuwa hawazifanyi
Mfano dereva wa lorry, ujenzi, mabasi, na hata bucha
Mbona wanapasua kuni kwa Shoka watashindwa mfupa?
 
Tembea uone ndugu. Kinamama wapo kwenye bucha kila kona. Hata hapa mji kasoro bahari zipo kadhaa wanauza wanawake.
 
Sijaona, ila wakipewa hii kazi itapendeza sana..maana ni waaminifu...changamoto inakuja kwenye siku zao/period..
 
Wapo wengi sana nmewaona na kila siku nawaona
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
Mbona mimi nimeshawahi kumuona anauza samaki na kuku buchani, au hizo sio nyama?
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
HAKUNA asili ambayo ni general, hayo no mapokeo toka kizazi kimoja kwenda kingine.

Wapare wanaweza kukataza wanaume kutwanga mahindi kwenye kinu lakini wachaga wasifanye hivyo.

Kimsingi haukua utamaduni wa wanaume kuuza chakula barabarani lakini Sasa tunao kina baba pishe.
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
Nenda Dodoma wapo wengi tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom