Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuuza nyama buchani?

Ukija huku nitakupeleka sehemu yenye bucha anauza mdada ' ni hapo Njiro tanesco kuna butcher anauza mdada

Butcher = mtu anayechinja au kukatakata nyama.

Butchery = ndio ile sehemu sisi waswahili tunaita bucha, wanakouza nyama au wanakichinja, au wanakokatakata nyama.
 
Njoo soko la Mjengo Dom wako wengi sana mpka utachoka..
 
Tatizo lako bucha unayo ifahamu ni ile yenye mapanga, mashoka, na ile mgogo mkubwa ambao sasa umekatazwa na serikali.

Kwa bucha kama hizo hutakaa uone mwanamke akifanya kazi hapo.

Bucha za kisasa zipo na wanawake ndio wanafanya kazi humo.. nyama inakatwa kwa mashine, friji za nyama, chumba usafi wa ukweli.. etc.

Pale mlimani city mbona nyama inauzwa na wanawake au nini maana ya bucha kwako?
Butcher maana yake ni Muuza nyama anayekatakata na kuuzia watu.

Pia muuza magazeti kwenye train za nchi za ulaya wanamwita Butcher.
 
Ngoja niwaambie kwa Nini butcher za nyama hawapendi kuingiza wanawake..ni kwa sababu wanapenda sana kusafiri mwezini Tena kuna wengine wanasafiri mara mbili kwa mwezi...sasa wateja si watakosa huduma???! Me mwenyewe Nina butcher..
 
Wanawake wanofanya kazi buchani wapo.. ila usije jiroga ukala nyama ya mwanamke ambae amesafiri kwenda mwezini
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni

Nenda Arusha kuna kampuni inaitwa Meat King. Butchery yao ni wanawake pekee ndio wauzaji.
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
Hata mwanaume sijawahi kuona anauza bucher ila hua nawaona wanauza nyama buchani
 
Google maana ya butcher,hafu uedit koment,au mgonjwa kakomenti?
Ku-butcher kitu ni kukikata hasa specifically kitu cha nyama, sasa mtu anaekata kata samaki na kuku si ana-butcher? Au wewe ni mgonjwa ume-comment?
 
Ngoja niwaambie kwa Nini butcher za nyama hawapendi kuingiza wanawake..ni kwa sababu wanapenda sana kusafiri mwezini Tena kuna wengine wanasafiri mara mbili kwa mwezi...sasa wateja si watakosa huduma???! Me mwenyewe Nina butcher..
Sababu ya kitoto sana.
 
Tatizo lako bucha unayo ifahamu ni ile yenye mapanga, mashoka, na ile mgogo mkubwa ambao sasa umekatazwa na serikali.

Kwa bucha kama hizo hutakaa uone mwanamke akifanya kazi hapo.

Bucha za kisasa zipo na wanawake ndio wanafanya kazi humo.. nyama inakatwa kwa mashine, friji za nyama, chumba usafi wa ukweli.. etc.

Pale mlimani city mbona nyama inauzwa na wanawake au nini maana ya bucha kwako?
uchochoro unauza nyamafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom