Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuuza nyama buchani?

DVC

JF-Expert Member
Jan 11, 2019
219
213
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
 
Je waweza kutushirikisha majibu au sababu zilizotolewa na waliokuwa wanazungumzia hiyo mada?

NB:
Huku kwetu wengi wanauza.
 
Tatizo lako bucha unayo ifahamu ni ile yenye mapanga, mashoka, na ile mgogo mkubwa ambao sasa umekatazwa na serikali.

Kwa bucha kama hizo hutakaa uone mwanamke akifanya kazi hapo.

Bucha za kisasa zipo na wanawake ndio wanafanya kazi humo.. nyama inakatwa kwa mashine, friji za nyama, chumba usafi wa ukweli.. etc.

Pale mlimani city mbona nyama inauzwa na wanawake au nini maana ya bucha kwako?
 
Ni kweli hujaona, ila wapo wengi maeneo tofauti kila siku wanatuhudumia..hasa kwenye hizi bucha zenye miundo mbinu ya kisasa.
 
Habari wakuu

Jana nikiwa kwenye gar kutoka mawasiliano to kawe. Kulikuwa na mjadala mfupi kwamba eti wanawake asili inawazuia wanawake kuuza bucher!

Na mm nikaanza kuwaza bila kupata majibu , hadi leo hata mm sijawahi kumwona Mwanamke akiuza nyama buchani!! Sasa ndo hapa nikipata kapicha na maswal mengini tu ya hili!!

Je ww unajua hili!!??

Tujuzane wadau!!

Karibuni
Wapo kwenye bucha za mitaani huku kwetu kuna bucha ya nyama ya mbuzi huwa anauza mwanamke miaka yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom