Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,213
- 1,701
Kama yepi ambayo yatamgharimu?😂Amewahi. Ila hatarudia tena maana anajua yatakayofuatia baada ya hapo.
Akirudia maana yake amekubaliana na yafuatayo ambayo yatamgharimu.😀
Na sababu haikuwa kumjibu vibaya.
Huwezi kuizoea hio hali bruh unless unazungumzia demu tu ambaye hamna vows zozote nae. Fikiria mtu ambaye uliutambulisha ulimwengu mzima kuwa amekuwa mkeo then once in a while she get fucked up with a stupid punk ambaye hajui what pains you been through!Sema all in all Wote tunacheat, wanaume kwa wanawake huwezi kulaumu sana upande mmoja, sema ndo hivo mwanaume ukichitiwa inauma kisenge. ila ukielewa haya mambo yanavoenda unaweza kujifunza kutoumia ovyo
Dah ndo hivo bro, sema usaliti hauzuiliki na upo, so kaa ukijua hivo itakusaidia kupunguza maumivu siku ikitokea, kuliko kuaamini mwanamke 100%Huwezi kuizoea hio hali bruh unless unazungumzia demu tu ambaye hamna vows zozote nae. Fikiria mtu ambaye uliutambulisha ulimwengu mzima kuwa amekuwa mkeo then once in a while she get fucked up with a stupid punk ambaye hajui what pains you been through!
Bro hakunaga sababu maalumu yakucheat ni tamaa tu za kimwili ata wewe unawezafuck dem wa ovyo tu kisa tamaaSina Cha kusema mnk dah nimewai kuwa na date na wif of smdy nikagundua kuwa siyo kuwa haridhiki Ni yey mwenye wetu ameamua kutoka kisa Cha kipumbafu San binfs nikasema hili Ni Chaka jamaa kaingia
hata hao wenye hofu ya mungu wanalika vizur juzi kati nimetoka kumgonga mlokoleUnajifanya mwamba kumbe ushalizwa.
Kwenye mapenzi hako kamchuma kako hakakusaidii kitu.
Sisi ndo wanawake bana. Tunachokitaka sisi wenyewe hatukijui.
So ukifanikiwa kumpata mwanamke mwema mwenye hofu ya Mungu na ana akili timamu kama hiyo kitu weka ndani na pingu za maisha.
SIjaelewa unataka dfn ya akiliAkili gani mnazomaanisha nyinyi..tukija kisayansi tofauti ya mwanaume na mwanamke kwenye mfumo wa ubongo au akili ni nini, bila kujua hilo mtabaki kisema hivyo vizazi na vizazi
Yeye anayajua😀Kama yepi ambayo yatamgharimu?😂
Wengine ni basi sio kwamba hata wana ishu kwenye ndoa zao ni hulka tu ya umalayaSina Cha kusema mnk dah nimewai kuwa na date na wif of smdy nikagundua kuwa siyo kuwa haridhiki Ni yey mwenye wetu ameamua kutoka kisa Cha kipumbafu San binfs nikasema hili Ni Chaka jamaa kaingia
Huyu wangu mm eti Ana dai mume Ni mkorofi Sana hayuko romantic kbsa Ni fujo fujo tu hivyo Yuko kwangu kutafuta faraja kwangu ambayo ameikosa kwenye ndoa yake ,Wengine ni basi sio kwamba hata wana ishu kwenye ndoa zao ni hulka tu ya umalaya
[emoji16][emoji16][emoji16]Usaliti sio wa kutoa mbususu tu!,anaweza kukusaliti kwa kutoa siri zako za uchumi ukaanguka kiuchumi
You are missedUsinifanye nilie machozi ....nimetoka kuumizwa mda sio mrefu na aliyekuwa mke wangu.usiwaamini wanawake.nashukuru alinitotoleshea mtoto mmoja inatoshaaaa