Kwanini wanawake hawaridhiki na wenza wao?

Kwanini wanawake hawaridhiki na wenza wao?

Hahahhh!!! Unajua hamna mtu anaependa kumpiga mkewe, tatizo la wanawake ni moja wanadharau na mara nying si wasikivu.
Sasa unampiga miaka nenda rudi habadiliki, inakusaidia nini wewe?

Na wale wanaume wenye dharau kwa wake zao nani awapige?
 
Tuanze kuwauliza nyie wanaume kwanini huwa hamtosheki na mwanamke mmoja? Mkeo hata akufanyie nini lazima uchepuke.

Na wengine huwa wanaanza kuchuma mali kwa shida na mwanamke anamvumilia ila akipata fedha anatafuta type
Ya mwanamke ambae kwa kipindi anaanza maisha asingemkubali. Yani unamuacha mke aliekuvumilia unaanza kumzurulisha dubai mtoto wa chuo na mda mwengine hadi unavunja ndoa yako na kuchukua mwanamke ambae hujapambana nae kimaisha.

Mkinijibu hili ntawajibu hilo lingine
Mkuu unanisema mimi kabisa hapa,Mungu anisaidie
 
Hapana! hapana! hapana! Nyie wanawake mmekua too much, yaani hizo mbususu mnazigawa sana kwa wanaoomba, yaani kuna muda mnapat wanaume wastaarabu na wenye heshima zao ila mnawafanyia ushenzi, naomba uache hiyo tabia we dada,
Nyie mmezidi kiukweli
Ukiona mke wako anakucheat,jaribu kujichunguza na kujitathmini,ikumbukwe kuwa mwanamke hachepuki kwa tamaa Bali ni upendo,I mean either kuna kitu kakikosa kwako ndio maana kaamua kwenda kutafuta nje,na sababu kubwa ya mwanamke kuchepuka ni upweke anakosa hata mtu wa kumwambia shida zake au hisia zake ndo mana anakimbilia kwa mtu mwingine,niwape TU Siri wanaume,mwanamke akikupenda kwa dhati Toka moyoni mwake kamwe hawezi kukucheat,never ever,ila kama alikupendea kitu ulichonacho,kikiisha kuchapiwa itakuwa ni Siri ya ndani
 
Ukiona mke wako anakucheat,jaribu kujichunguza na kujitathmini,ikumbukwe kuwa mwanamke hachepuki kwa tamaa Bali ni upendo,I mean either kuna kitu kakikosa kwako ndio maana kaamua kwenda kutafuta nje,na sababu kubwa ya mwanamke kuchepuka ni upweke anakosa hata mtu wa kumwambia shida zake au hisia zake ndo mana anakimbilia kwa mtu mwingine,niwape TU Siri wanaume,mwanamke akikupenda kwa dhati Toka moyoni mwake kamwe hawezi kukucheat,never ever,ila kama alikupendea kitu ulichonacho,kikiisha kuchapiwa itakuwa ni Siri ya ndani
Nimesoma mstari wa kwanza tu nimeacha!!

Hivi kama mumeo ameshindwa kuktimizia kitu fulani ndio ucheat!!?? Like serious!!??

Halafu mnaongea kabisa " ukiona mwanamke anakucheat basi jitathmini"
Jamani mnanini kwani!!?? Kwa nini usiongee na mumeo masuala kama hayo, au kwa nini usiende japo kwa wazazi wajue jinsi gani ya kufanya ili kuondoa tatizo!!??

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Vijana wa siku hizi hawana mtu wa KUWAFUNDA !! Kama wasoma Biblia wanavyojua, unatakiwa ukae na mkeo KWA AKILI !!

1. Lazima uwe tayari kuishi kwa "ujanja" wa kumfurahisha mkeo. Ujue kwamba KILA MWANAMKE anataka kubembelezwa KAMA MTOTO (baby)!!

Umpe zawadi ndogo ndogo umkabidhi kwa mapenzi (surprise). Sio lazima ziwe za thamani kubwa. Hata kitambaa cha mfukoni. Au waridi lizuri, au chocolate. Chochote utakachompa, mradi iwe unaonyesha HUBA !!

Jifunze kwa jogoo wa kienyeji. Lazima anaokota chakula anampa mtetea anayemtaka. Anamtafutia tena kingine. Mara ya tatu anajifanya ameokota amempa kumbe hakuna kitu. Wakati mtetea anatafuta iko wapi, jogoo anapanda. Sasa wewe mwanaume jogoo atakuzidije akili?

2. Kwenye sex:-
Wanaume weeeengi sana wanafeli.

Wanawake weeengi hawa - enjoy sex ila wanajifanya kutoa sauti ya kuonyesha "wame-genyeka" sana. Kumbe kama umeingia kichwa kichwa, haoni raha. Wewe mwanaume umekuja, na kwa vile unajua ni wa kwako, unaingia na kuanza kutwanga (utadhani unakoboa kande). Ukimfanyia hivyo, hasikii raha yoyote. Kwa hiyo, anajisukuma kutoa sauti za mahaba kumbe
anawaza akachepuke na nani aridhike. Matokeo yake, akimpata kijana akitupa neno moja tu, anajiachia kama yoote !!


3. PHAKIKISHA:- Anza kwanza romance, kwa muda mreeefu, mpaka mwenyewe akuambie sasa weka. Halafu, nenda taratibu, huku unampa maneno ya mahaba. Uhakikishe yeye amefika Kilimanjaro kabla yako.

Haya mambo yanataka ufundi !! Sio unatwanga tu utadhani unakoboa kande !!

3. Halafu, ukimaliza usiondoke. Endelea kumpa maneno ya kumpa raha, umweleze alivyo mtamu, alivyo mzuri n.k. Anaweza kujikuta anasisimka tena, lakini na wewe usifanye haraka. Bao la pili linaweza "kujipiga lenyewe" kiulaiiini !!

NAKUHAKIKISHIA :- Ukitumia "utaalamu" huu, mwanamke wako hatakuacha, na kamwe hatatembea nje hata kama pesa huna.
 
Msikate tamaa...watu wema bado wapo iwe ni mwanamke au mwanaume unayemtaka kwa ajili ya maisha yako. Mke mwema anatoka kwa.......

Mconsult Bwana akupe mke unayemtaka. Lakin kama hutaki fine...endelea kutumia akili, pesa, kipaji, uhandsome wako utampata tu. Mo akijipindua vibaya eti kisa ana dusko atafurah na shoo. Anaweza kugongewa na Dereva wake vlevle. Narudia...chukua hii...Muombe Mungu kiukwelikwelii kabisa..atakupa mke mwema.

NB; Mke mwema haimaanish hana madhaifu..ila Mungu atakupa moyo wa kuyabeba madhaifu yake.

#juankunywazakopepsi#
Nina ushuhuda na hili mkuu..
 
Unajifanya mwamba kumbe ushalizwa.

Kwenye mapenzi hako kamchuma kako hakakusaidii kitu.

Sisi ndo wanawake bana. Tunachokitaka sisi wenyewe hatukijui.

So ukifanikiwa kumpata mwanamke mwema mwenye hofu ya Mungu na ana akili timamu kama hiyo kitu weka ndani na pingu za maisha.
[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari MMU,

Leo nimeona nije kuangazia upande huu wa wanawake, ambao wanaonekana kutoridhika kabisa na chochote wapatacho kutoka kwa wenzi wao.

Mwanamke humfanyie chochote kile jua ipo siku atakusaliti tu, na mbaya zaidi atakusaliti kwa kitu cha kipumbavu kwelikweli.

Jamaa mmoja ashawahi sema "Mwanamke unaweza kuonesha busara kwa kumnunulia gari, lakini akaliwa mbususu na mtu aliemsaidia kubadilisha tairi tu kwa siku moja!"

Leo hii unaweza ukawa na pesa kiasi cha kutosha na ukajaribu kumpatia mke/mpenzi wako lakini akakucheat na mtu asietoa hata mia, tena akala miuno ya uzazi kushinda hata wewe mmiliki.

Wanawake wamekuwa na hila kwenye mapenzi mpaka imefikia hatua leo hii, jamii inaaminishwa kuwa hakuna mwanamke wa peke yako! Yaani ni Lazima mbususu ya mkeo au demu wako iliwe na wapwa wengine tu!

Naomba tuulizane hivi ni kwa nini inakuwa hivi!?

Ni tamaa gani hiyo ya kisheitwani!?

Ndio maana wakija kukutana na sisi wakina Edson Carrington tuliobarikiwa kumiliki vyuma, tunawapiga vingi vingi vya kichwa bila ya kuwachelewesha.
Mungu bado hajaishiwa na watu waaminifu, wapo wanawake waaminifu sana kwenye ndoa zao, ila kutokana na dunia ya sasa tunafikiri hawapo ila nakuhakikishia wapo.
Tunachopaswa kujiuliza kabla hatujawalalamikia hawa wake zetu, tujiulize sisi tu waaminifu kwenye ndoa zetu? wakati mwingine tunavuna matunda ya tabia zetu au matendo yetu.
Jambo lingine lakujiuliza msingi wa ndoa zetu ulikuwaje, mlivyoanza mahusiano ya kuingia kwenye ndoa yalikuwaje, mlitunza uaminifu wenu?
Mambo haya huwa hatutaki kuyajua ila ndoa bora inaanza kutengenezwa na mtu mwenyewe, shida tunataka kilicho bora ila sisi hatutaki kuwa bora.
Tusijenge mtazamo mbaya juu ya wanawake, kukosea kwa mmoja tusiwaone wote hawafai.
 
Mfano Mtu una gari nzuri BIMA
nyumba nzuri Marumaru Hadi kwenye choo

unalala pazuri hivi unaweza teswa na Mapenzi!!! Kwa mademu hawa wenye UTI Sugu!?
 
Wanawake ni rahisi sana kudanganywa ,wakiona mambo kwenye internet wanapagawa na wao wanataka ku_experience kumbe huyo wanayemfuatisha na yeye ndoa imemshinda.

Ni sawa na mama kibubu Macho woman 8020 Fashion(Shamim zeze mwasha) akiwaambia alianza na kuwekeza afutatu tatu kwenye kibubu mpaka akamiliki range vogue.
 
Lakini tuseme ukweli, hivi hawa wanawake wanajitomba? Si ni sisi wenyewe wanaume ndio tunawatongoza! tena ingali tunajua fika kuwa ni wake za watu.

Binafsi naona kama tunawaonea tu kwasababu hii ni 50 kwa 50. Unakuta Mimi natomba nje ovyo ovyo lakini ikitokea mke wangu akatombwa nje inakuwa nongwa.

Maisha mafupi haya, Haina haja saaana ya kujipa stress bila sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini mke wa mtu kwanini aruhusu kutombwa nje?
 
Back
Top Bottom