Kwanini wanawake hawaridhiki na wenza wao?

Kwanini wanawake hawaridhiki na wenza wao?

Kuna possibility kubwa umkampata demu mweny tabia zako ila sio 100% ,Tunapoongelea kwa wanawake je sis wanaume ni wakamilifu Kuna Maisha ya nyumba hapo wanaume tunakuwa tuna mwanamke wa kulea watoto ila tulifika ofisi na maeneo yetu ya kazi kama biashara hata vibarua unakuta tunajiachia kama hamna ndoa vile ..uzinzi na kupenda kutongoza ovyo sijui kutamani ni kujipendekeza kwa maoni ..why ? Jaribu kuplay fair tusipende kumchukulia kila mtu katika hali ya mtazamo mmoja mfano so kila mwanamke unamuona lazima ufikirie kutembea nae na kuwa mpenzi wako....vitu vya kawaida ile jamii ya sasa mwanamke anatachezewa na jamaa wengine na the same kwa mwanaume atachezea wake za watu.

Unajua unaweza kuplay fair na ukagain uaminifu na jamii hata kupata dili za maana hata kwa baadhi ya hao unawaona labda ni wasichana..unaweza ukaishi nae katika mitazamo labda ya kikazi then kila mtu akala hamsini zake so kila demu unamumtongoza kibongo bongo unajichoresha Kuna dili unazizuia kimtindo na neema...wanawake ni kawaida sana tofauti na jamii inavyowachulia na hata sisi wanaume ni ivyo ivyo...

Kwa nn unajikuta unatamani sana mwanamke au mwanaume mwingine ?[emoji117][emoji117]kwa sababu tupo too obsessed kufuatilia mambo mengine jaribu kama miezi kadhaa kukausha kila demu au mwanaume wa mtu ,fanya ishu zako za maana wacha kujifanya unachunguza mtu yukoje mara sijui yuko ivi kama kazini au sehemu ya biashara fanya ishu zako then mawazo weka kwa partner wako huko nyumba kama mna ndoa ...kila kitu ni kile kile ...Naeleza haya ukija kuwa mkubwa utakuja kutambua hamna jipya ishu ni kuridhika tu..

Binafsi hizi mambo ni mungu kwa vile mikausho mikali najua hap ni wapi nafanya nn? Demu ukiwa unashoboka sana basi kila unayemuona utashobokea na ubongo utalemaaa juu ya wanawake ..halal is beauty
Mtu mzima mr.accumen mo naona umeamua kufunguka zaidi
 
Habari MMU,

Leo nimeona nije kuangazia upande huu wa wanawake, ambao wanaonekana kutoridhika kabisa na chochote wapatacho kutoka kwa wenzi wao.

Mwanamke humfanyie chochote kile jua ipo siku atakusaliti tu, na mbaya zaidi atakusaliti kwa kitu cha kipumbavu kwelikweli.

Jamaa mmoja ashawahi sema "Mwanamke unaweza kuonesha busara kwa kumnunulia gari, lakini akaliwa mbususu na mtu aliemsaidia kubadilisha tairi tu kwa siku moja!"

Leo hii unaweza ukawa na pesa kiasi cha kutosha na ukajaribu kumpatia mke/mpenzi wako lakini akakucheat na mtu asietoa hata mia, tena akala miuno ya uzazi kushinda hata wewe mmiliki.

Wanawake wamekuwa na hila kwenye mapenzi mpaka imefikia hatua leo hii, jamii inaaminishwa kuwa hakuna mwanamke wa peke yako! Yaani ni Lazima mbususu ya mkeo au demu wako iliwe na wapwa wengine tu!

Naomba tuulizane hivi ni kwa nini inakuwa hivi!?

Ni tamaa gani hiyo ya kisheitwani!?

Ndio maana wakija kukutana na sisi wakina Edson Carrington tuliobarikiwa kumiliki vyuma, tunawapiga vingi vingi vya kichwa bila ya kuwachelewesha.
Tuanze kuwauliza nyie wanaume kwanini huwa hamtosheki na mwanamke mmoja? Mkeo hata akufanyie nini lazima uchepuke.

Na wengine huwa wanaanza kuchuma mali kwa shida na mwanamke anamvumilia ila akipata fedha anatafuta type
Ya mwanamke ambae kwa kipindi anaanza maisha asingemkubali. Yani unamuacha mke aliekuvumilia unaanza kumzurulisha dubai mtoto wa chuo na mda mwengine hadi unavunja ndoa yako na kuchukua mwanamke ambae hujapambana nae kimaisha.

Mkinijibu hili ntawajibu hilo lingine
 
Tuanze kuwauliza nyie wanaume kwanini huwa hamtosheki na mwanamke mmoja? Mkeo hata akufanyie nini lazima uchepuke.

Na wengine huwa wanaanza kuchuma mali kwa shida na mwanamke anamvumilia ila akipata fedha anatafuta type
Ya mwanamke ambae kwa kipindi anaanza maisha asingemkubali. Yani unamuacha mke aliekuvumilia unaanza kumzurulisha dubai mtoto wa chuo na mda mwengine hadi unavunja ndoa yako na kuchukua mwanamke ambae hujapambana nae kimaisha.

Mkinijibu hili ntawajibu hilo lingine
Hapana! hapana! hapana! Nyie wanawake mmekua too much, yaani hizo mbususu mnazigawa sana kwa wanaoomba, yaani kuna muda mnapat wanaume wastaarabu na wenye heshima zao ila mnawafanyia ushenzi, naomba uache hiyo tabia we dada,
Nyie mmezidi kiukweli
 
Lakini tuseme ukweli, hivi hawa wanawake wanajitomba? Si ni sisi wenyewe wanaume ndio tunawatongoza! tena ingali tunajua fika kuwa ni wake za watu.

Binafsi naona kama tunawaonea tu kwasababu hii ni 50 kwa 50. Unakuta Mimi natomba nje ovyo ovyo lakini ikitokea mke wangu akatombwa nje inakuwa nongwa.

Maisha mafupi haya, Haina haja saaana ya kujipa stress bila sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amewahi. Ila hatarudia tena maana anajua yatakayofuatia baada ya hapo.

Akirudia maana yake amekubaliana na yafuatayo ambayo yatamgharimu.[emoji3]

Na sababu haikuwa kumjibu vibaya.
Hahahhh!!! Unajua hamna mtu anaependa kumpiga mkewe, tatizo la wanawake ni moja wanadharau na mara nying si wasikivu.
 
Ata bible inatuasa muishi nao kwa akili sasa kama huna akili za kutosha achana nao utakuja kufa siku si zako.

1 Pet 3:7 SUV​

Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
Mithali 6: 32 tunaambiwa kila aziniye na mwanamke hana akili..
Akili gani mnazomaanisha nyinyi..tukija kisayansi tofauti ya mwanaume na mwanamke kwenye mfumo wa ubongo au akili ni nini, bila kujua hilo mtabaki kisema hivyo vizazi na vizazi
 
Back
Top Bottom