binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,786
- 46,858
Men are just as capable of manipulation, gaslighting and slander, so those aren't female traits.Compared to men, women are more aggressive and vicious. Their aggression appears in the form of subtle-debilitating emotional abuse: slander, manipulation, gaslighting, character assassination and covert narcissism.
Jamani, hakuna anything "worse than death".A women can enter into a man's life and leave him completely shattered, broken-beyond and unable to emotionally recuperate. A state of affair which is worse than death.
The idea that women benefit from men's cruelty neglects who actually suffers from male violence "mostly other men". Young men are by far the most likely to be killed, usually by other young men, women aren't spared either.Men are seen as aggressive because they've been at the helm of civilization since the dawn of time. The entire wheel of human civilization is hinged on The Patriachy, both in terms of Power and Influence. So whatever they do cannot go unnoticed and arouse emotional debate.
But unlike women who do almost many things for selfish reasons, 50% of men's cruelty benefits women. Men go to war for glory, aggrandizement and gold, which in the long run benefit women of his society.
Men holding power through history explains why male violence has been so consequential.Men want power for selfish reasons as being able to ensure security and continuation of his offsprings which are borne out of a woman and raised by a woman.
Bottom line is, women are great beneficiaries and stake-holders of Men's cruelty.......
We're fighting for their vipochi manyoyas😆Compared to men, women are more aggressive and vicious. Their aggression appears in the form of subtle-debilitating emotional abuse: slander, manipulation, gaslighting, character assassination and covert narcissism.
A women can enter into a man's life and leave him completely shattered, broken-beyond and unable to emotionally recuperate. A state of affair which is worse than death.
Men are seen as aggressive because they've been at the helm of civilization since the dawn of time. The entire wheel of human civilization is hinged on The Patriachy, both in terms of Power and Influence. So whatever they do cannot go unnoticed and arouse emotional debate.
But unlike women who do almost many things for selfish reasons, 50% of men's cruelty benefits women. Men go to war for glory, aggrandizement and gold, which in the long run benefit women of his society.
Men want power for selfish reasons as being able to ensure security and continuation of his offsprings which are borne out of a woman and raised by a woman.
Bottom line is, women are great beneficiaries and stake-holders of Men's cruelty.......
Testosterone.Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Mnajifariji and even if it's true, ni jukumu lenu 😄We're fighting for their vipochi manyoyas😆
We know, and that's our power 😎They'd understand if they knew how delectable their vipochis are. They're essentially clueless.
Exactly 👏 👏👏Kimuonekano au tuseme kimazoea wanawake tunaonekana dhaifu. Ile kulialia kwa mambo madogo, au wakati mwengine kupanic inapotokea tatizo kwa haraka tunakuwa hatujui maamuzi sahihi so either tutapanic au tutaanza kulia. Kugombeza gombeza kila wakati either kuwagomba wtt au waume zetu...hii ndio inayofanya jamii ituone dhaifu. Lakini kiuhalisia hasa wanaume ndio wapo dhaifu, wana jazba na wanakurupuka kirahisi mno. Ile kuwa sie hatuwadhuru wanaume jamii inaona kama labda hatukerwi, au hatuudhiwi, au hatukasirishwi au hatupigwi matukio na wanaume. Kwa vile tunabeba na mara nyingi tunaamua kusamehe, tuna imani, tuna huruma tena wakati mwengine huruma inapitiliza mpk unajiuliza mie nimerogwa. Mwanamke unaweza ukapigwa matukio na mwanamme mara kadhaa na kila mara ukawa unasamehe. So watu wakiona hivyo they like it's easy, ila tunayopitia ni mazito mnoo mpk tunapata maradhi.
Ila njoo kwao wao sasa. Yaani kuna mada ukizisomq humu, utasema hamna mwanammke wa maana dunia nzima. Yaani wanawake wahuni, wanawake malaya, wanawake hawatosheki, wanawake wezi, wanawake sio waaminifu yaani mada za wanaume kulalamika zimekuwa too much mpk unajiuliza hawa wanaume wa siku hizi hawana vifua au ndio mambo ya utandawazi!!!
Wao wanajiona wapo so exceptional yaani, they can do anything na maisha yataendelea. Wakifanyiwa wao sasa, ndio kama ivo...utaskia kaua kwa risasi, kachinja, kaumiza mwanamke au wengine wanafikia mpk kujidhuru. Fikiria mtu anaweza akaua familia nzima, kisa kaudhiwa. Kama si udhaifu ni nn. Men are weak, veryyyyyyy
Morning babes 🫶Good morning Binti wa zamani.
Mimi namtafuta huyo na yule aliyesema "wanawake tuishi nao kwa akili"Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.
Ni kitu nakitafakari kwa muda mrefu, na kwanini huu udhaifu often unakua glorified?Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.
I agree, wengi wao wanakwepa working on themselves kwa sababu hawataki hata kukubali kwamba kushindwa kuregulate emotions hasa zile ambazo ni negative ni udhaifu.Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!
Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
Mwanadamu anakuzwa kwenye mambo makuu matatu.Nina watoto wa kiume pekee na hili ni swali ambalo nimekua nalo kwa muda mrefu na naamini majibu yake yatanisaidia kuelewa kizazi changu pia.
Baby girl miss you 🥹😍Good morning Binti wa zamani.
Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.
Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.
Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!
Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
😂😂😂😂 Kilichompeleka kwenye 3some nini kiherehere tu! 🤣
Sio kweli rafiki, Kuna watu wanapigana na ni strangers unakuta wamekutana nusu saa iliyopita wamezinguana wakazibonda.Upo sahihi.Hadi mwanaume afanye tukio baya ujue alishavumilia jambo/mambo kwa muda mrefu sana.
Hisia ni moja ya vijenzi muhimu kabisa vya ubinadamu. Kila mtu anazo.Good morning Binti wa zamani.
Mi bado namtafuta aliyesema wanawake tunaendeshwa na hisia.
Bandiko lako limekuwa argument yangu ya kila siku na unfortunately hakuna ambaye amewahi kuelewa nachozungumzia. Siku moja kwenye bandiko la Prida almanusura wanitoe roho.
Wanaume ni viumbe dhaifu, hatuwaambii hili ili kuwadogosha, tunawaambia hili so that yall can do better!
Madhara ya mwanaume kuendeshwa na hisia ni makubwa kuliko kinyume chake.
Hayupo au mnaogopa kuusema ukweli kama ulivyoIla wakulaumiwa hayupo,
Is it still necessary today?wakati wanadamu tunaanza kuishi kimakundi ilikuwa sahihi zaidi watu wenye nguvu za kimwili(wanaume) kuwekwa juu ili wasimamie vitu kama ulinzi na kilimo, na ndipo mfumo dume ukazaliwa na kuleta haya yote. It was out of necessity.
💯 💯 💯Ni wachache wanaweza kwenda nje kidogo ya ufahamu wa hizi tamaduni zetu na kuelewa haya.
Kabisa kabisa.Exactly 👏 👏👏
Hawa watu ni weak sana
Ndio maana hata nyuzi za kulia lia na kuomboleza ni wao tu
Asubuhi utasikia bro to bro
Jioni ooh vile
Usiku mwanamke vile
Roho zao ndogo kama za kuku
Nawashauri wanaume kazeni moyo acheni kutuua
Ukiona umeshindwa jikatae tu
Waheshimiwe sana 🙌 kazi yao ni pevu.Ama kweli mashuleni walimu wana kazi sana 🤣🤣🤣
Unabaka vipi wakati kuna machimbo kibao ya kwenda kukojolea unaanzaje kubaka Mbuzi yaan kwa mfano?Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!