Kuwa mwanejeshi au mwindaji kunahitaji mtu kuwa violent kwa kiasi kikubwa.Nakubaliana na wewe ila hivyo vitu ulivyolist vinahusiana nini na kushindwa kudhibiti hisia na kuwa violent?
Hiyo umesema wewe sasa😁Mtu anayeshambulia anajulikana, wewe hapo tayari ushaishambulia na ushaonyesha udhaifu….!! 😹
Wala hata mom😊😹😹 Mi najua umeishambulia kimoyoni..!!
Nyie kizazi cha Adam mna vioja sana 😂
Ahahahaaa Lamomy ndio maana amejijua mapema..
Upo sahihi.Hadi mwanaume afanye tukio baya ujue alishavumilia jambo/mambo kwa muda mrefu sana.Mwanaume ni kiumbe ambaye anacontrol hasira sana, kinachotuponza ni kwamba hatusahau, tunajicontrol ila hatusahau sasa siku ikilipuka inalipuka na ya nyuma yote.
Mwanamke ni kiumbe dhaifu mno linapokuja suala la hisia ila kinachomsaidia ni usahaulifu. Wepesi sana wa kusahau ndo maana unaweza mnunulia range rover akafall In love na fundi unayemlipa wewe amtengenezee range lake.
Tufanye tu wote hatujielewi....Nyie ndo hamjielewi mnataka kuficha udhaifu wenu kupitia comment yangu..!!
Wanaume dhaifu ndiomana kwenye biblia mwanamke alimdanganya wakala tunda la kati..!!Nimeona jana usiku habari UK mtoto wa miaka 14 amemchoma kisu mara 10 binti ambaye amemtongoza akamkataa. Nikafikiria yani miaka 14 tayari mapenzi yanamuendesha huyu akikua si ataua 😢.
Watatoa mapovu, doffi inasubiri 😂
Hakika...Kusema kila kitu anakosea
Kuna mwanamke mmoja mjinga mjinga atafanya haya kati ya meeengiUnamaanisha nini kwa kusema "aje kuwa shujaa" ?
Kwahiyo mkichomana visu huku mnagombania chenji mnakua mmefanya uchunguzi na maamuzi magumu?Sio udhaifu mkuu
Wanaume Huwa tunatoa hukumu baada ya kufanya uchunguzi sana wa jambo, likishapatikana jibu ndio utamjua mwanaume ni nani akiamua kufanya maamuzi baada ya kujiridhisha na uchunguzi wake.
Ni kweli, ila si bora hao wanaoishia kuongea na kupiga kelele kuliko nyie mnaofanya maamuzi ya kuumiza, kuharibu na majuto makubwa.Tofauti na wanawake chochote atakachokiskia muda huo huo kinakua habari
Pamoja na yote haindoi nyie ni dhaifu.Mwanaume ndiye mwanadamu aliyezungumziwa hata kwenye vitabu vitakatifu.
Na asilimia 90 ya mambo anayofanya mwanamke huyakopi kutoka Kwa mwanaume.
Hivyo kila kilichoanzishwa hapa Duniani kilianza na mwanaume
Hivi unadhani wanajutia???!!!! Kama wapo wanaojutia ni wachache sana. Ukitaka kufahamu kwa nini nasema hivyo soma comments za WANAUME wengi kwenye Threads zinazohusu mauaji ya Jane Urassa yaliyofanywa na mume wake.Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Anglia idadi ya wajane na wagane ndo utajua Nani anaongoza kwa uuaji kwenye familia.Kwanini wanaume wengi (si wote) wana udhaifu mkubwa kwenye kudhibiti hisia zao hasa za hasira au maumivu?
View attachment 3684908
Huu ugumu kwenye udhibiti wa hisia kali, kukosa utulivu wa kimaamuzi, na kufanya vitendo vya kujutia kwa wanaume? je, ni udhaifu wa kimaumbile au unasababishwa na nini?
- Asilimia 90% ya mauaji yote duniani yanafanywa na wanaume, iwe sababu ya hasira, visasi, uhalifu au vitendo vya kikatili. Ni kwanini iko hivi?
- Tumeona visa vya kugombea hata vitu vidogo kuishia kwenye kuchomana visu, au ikitokea kutoelewana kibiashara au kwenye shughuli za kiuchumi, basi maamuzi mabaya ya kudhuru mwili au kuharibu mali hufanyika. Naamini matendo mengi hujutiwa na wala hayamsaidii yule aliyeyafanya, ila yanatokea kwa wingi, kwanini ipo hivi?
- Kwenye mitafaruku ya ndoa au mahusiano, kukataliwa, kuachwa, kunyimwa jambo au mambo, wanaume wengi wakijisikia kukosewa wanaishia kupiga au kuumiza wenza wao na wakati mwingine hata watoto. Kesi za ukatili wa kijinsia zilikua nyingi mpaka zilianzishiwa dawati lake bobezi kwenye vituo vya polisi na asilimia kubwa ya washtakiwa wa vitendo hivi ni wanaume, kwanini?
Hadi Yesu? Subhanallah!Pamoja na yote haindoi nyie ni dhaifu.
Kupitia huyo huyo anayewakopi ndipo udhaifu wenu ulipo..!!
Rejea hawa 👇
Samson
Caesar
Yesu
Adam
Herode
Jiwe 😹
Nakuelewa tolerance ni individual issue na uwezo binafsi, ila kwenye data inaonyesha wanaume ni aggressive na violent by an excessive large margin na iko hivi kila sehemu.Nimejibu sababu ya kwanini tunaonekana aggressive sababu hilo suala limeonekana ni General..
But kwa mambo mengine inategemea mtu na mtu kitu nachoweza ku tolerate mimi ni tofauti na Juma,James and Vice versa
Dunia gani ingekuwa na amani??Bila wanaume hii dunia ingekuwa na amani sana.