Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Mimi nilikutana na binti alinipa shida kidogo kila ninapomwona kwa mbali. Mara baada ya kuikamata namba yake nilirusha vocha ya buku. Kisha nikatuma SMS kuwa kwa sasa nipo tight na majukumu, mara apatapo muda anijulishe japo kwa SMS, kunipa feedback ya program ya maandalizi ya safari yake na gharama ninazotakiwa kusaidia. Then akaniuliza Ni Nani wewe. Nikajifanya Ni wrong #. Alichokosea kuniuliza Niko wapi. Mwanaume nikapenyea hapo hapo, baada ya siku kadhaa kazi ya Buku ikamalizika vizuri Tu.
duh...mwanamke wa buku moja...hatari
 
Mi nikiwa nalenga kupga sound naomba directly,,,,ila kwel, swal hilo linakera, labda aulze badaye sana
 
1455022746012.jpg
 
Ndugu zangu mnashindwa kujib swali dogo hili, hahahahahaaa nikwambieni sasa wanawake wanapenda sana ulinzi wa miili yao na tena wanapenda kuambiwa kwa ujasiri ukilegeza tu kamba inakatika kwanza kabla hujampigia simu wewe fanya uchunguzi wa kina ujue anapoishi, sehemu anayopendelea kwenda aidha kula, kusuka, pengine lift ya gari, kazini kwake na kujua baadhi ya marafiki zake ukimtajia mtu wa karibu yake au jamaa zake utaona anakujibu kistaarabu lakini kumbuka uwe makini katika kujieleza usikosee nukta ya maelezo yako ukijichanganya tu basi anakukatia kamba, cheki kama anaendaga club, muziki taarab, kunywa au kwenda kanisani ukipata baadhi ya maeneo hayo ukimpigia atakuuliza maswali hayo jib kwa upole wakat mwingine anaweza kuwa ni changudoa ametoa namba zake za simu mtandaoni taja aina ya mtandao ambao anautumia utaona mashalaa mwali anaingia kingi, akikuuliza unataka nini mwambie tu ukweli aidha nimekupenda napenda nimeet na wewe kwa maongezi mafupi tuweze kufahamiana zaidi na mengineyo, sasa wewe mpige soundi hii unapendelea kinywaji gani tafadhali ili wakti tunaongea tuwe tunaburudisha akili kidogo nk.kwa leo inatosha
 
Njia ipi bibie ?? Napenda sana utaratibu wa date ,take her out for a dinner ,get to know each other the last thing i know she's on top of me riding
Hiyo ya kuomba namba ya simu kwa jirani
 
Hiyo ya kuomba namba ya simu kwa jirani
Oh hapana mama hiyo njia ni kero tu ,unless huyo mwanamke sio mtu wa public hivyo aonekani mara nyingi ila nina guts za kumfuata tu mwanamke na kumwambia nachotaka kumwambia bila kuchukua namba kwa mtu mwingine
 
Oh hapana mama hiyo njia ni kero tu ,unless huyo mwanamke sio mtu wa public hivyo aonekani mara nyingi ila nina guts za kumfuata tu mwanamke na kumwambia nachotaka kumwambia bila kuchukua namba kwa mtu mwingine
Okay maana nilidhani nawe ni wale wa nimekosea namba lakini hata hivyo huu ndo mwanzo wa kujuana lol[emoji23] [emoji23]
 
Unawazungumzia wanawake hawa nnaowajua mimi mweeeee..?siwezi kuomba namba kupitia mtu mwingine kisa nini mimi uso kwa uso naomba namba au namkabidhi ki-selula aweke wadhungu izi za kupitia mido man za kale sanaaaa.
 
Me ntamjibu mke mwema hutoka kwa .......coz nilimuomba anipatie mke mwema so amenipa no yako nikuaproach...🙂...
 
Mimi kuna msichana alinipigia bahati mbaya nilikuwa busy na kazi baadae namtafuta namuuliza ulinipigia akasema mbona sijakupigia nikakata simu nikajua ana lolote anataka kuniletea tamu na mimi simjui
 
1.Unaandika sms hivi mfano "Juma vip Hizo million 5 ntakutumia kwa mpesa ili unichukulie ule mzigo wote huku Biashara inaendelea poa" hakikisha we mfanya Biashara alaf unaituma kama ume wrong numbe
2.oya Dulla Nipo chuo apa njo faster nimeksbir alaf naskia boom tayar , alaf unatuma kama ume wrong number kwa wewe mwana Chuo
3.Dogo nepoteza ID yangu pamoja na ATM zangu ebu nenda ghetto uchek, una wrong number hii ni kwa wale wafanyakazi wa maofisin kama vile, benki, ofisa yeyote au mwalimu unaweza tumia au daktari
. Zipo nyingi taja fani yako tukpe technic , chamsingi ni ule mwanzo tu nahuu ndo mwanzo mzur ila usifanye hiv kama huna sifa hiyo au usmfanyie dem wa JF maaana kashajua tayari ila weng sana huwanyaka bila shida kwa kutumia hiz mbinu. I'm out

Ngoja Leo nijaribu Na hii technq
 
Wanaume wamekuwa wakijifanya ni mabingwa kama siyo majabali wa kutongoza lakini mara baada tu ya ujio wa simu za mkononi hakika zimekuwa ni kama ni mateso makubwa kwao.

Nalisema hili kutokana na kwamba unaweza kumkuta mwanaume anapambana au anahangaika kuipata namba ya mwanamke fulani ambaye hajuani nae au labda namba yake kaipata tu kwa mtu ili aanze kumtongoza kwa simu ama kwa kumpigia au kumtumia meseji lakini imekuja kujulikana kuwa hakuna mtihani mgumu au swali gumu ambalo wanaume wengi hukumbana nalo na ambalo wengi wao hushindwa kulijibu na hatimaye kujikuta wanajichanganya na wanamkosa huyo mwanamke.

Utakuta mwanaume anaanza kujitutumua kwa kuwasiliana na huyo mwanamke lakini akiulizwa tu swali hili " je namba yangu umeitoa wapi au kakupa nani? " wengi wao hukata tamaa kabisa na hata kuishiwa tena nguvu za kuendelea kuwasiliana na yule binti au mwanamke kwani hakuna swali ambalo wanaume wengi hawalipendi na hawaliwezi kulijibu kama hilo.

Labda leo tupate uzoefu kutoka kwa wanaume ambao naamini humu mpo wengi ni kwanini wengi wenu pamoja na jeuri zenu zote mkiulizwa tu hilo swali tajwa hapo juu huwa mnajiumauma na hatimaye kusepa na kuishia kulalamika tu?

Na je unadhani majibu sahihi ya kumjibu mwanamke ambaye hujuani nae halafu umepata tu namba yake kwa mtu na unataka kumtongoza endapo atakuuliza hilo swali kuwa " namba yangu umeitoa wapi au namba yangu kakupa nani? " ni yapi au ni lipi?
Umewahi kuwa mwanaume mpaka utusemee? Umehisi hivyo au umeambiwa?
 
Hahahahahaha mpaka wakubwa[emoji4] [emoji4] [emoji4] mtu sauti imekomaa kabisa lakini anakomaa na upuuzi tu wa nimekosea namba[emoji23]
Basi ndio maana wanaume wengine wanakosa wanawake halafu tunaishia kulalamika teh teh
 
Back
Top Bottom