Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 936
- 1,302
Kuna vibaka ukikosea tu kutuma anaenda kutoa afu laini anaitoa humpati hewani utaishia kupishana nae huna cha kusema na mpunga wako keshakula.
UOTE="GlobalChick, post: 15284553, member: 279784"]Hawa wa siku hizi hilo swali hata hawaulizagi,ukiona umeulizwa ujue umeonekana haueleweki!
Anyway mimi huwa nikipata namba na iwapo nimekusudia kweli kumpata huyo muhusika huwa namtumia 50,000 kwa njia ya simu alafu nakaa kimya hadi apige yeye na wengi huwa wanapiga,akipiga unampongeza kwa kuwa na roho nzuri na ubinadamu alionao na baada ya hapo kazi ni kwako,asipopiga baada ya siku mbili namuandikia text nikimwambia kuwa nilikosea kumtumia hela juzi na sio mbaya kama akinirudishia hata nusu.hapa tayari unakuwa umelianzisha na hakuna kurudi nyuma.[/QUOTE]