Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,416
Naona umepotea njia mkuu. Siku nyingine uwe unasoma kwanza uzi vizuri, shirikisha vizuri Ubongo wako kisha ndipo ujibu. Hatuzungumzii Valentines Day hapa. Simama katika mada huna cha kuchangia sepa tu usituchoshe.
Mkuu ubongo wako unaonekana ni mkubwa lakin haujabeba chochote upo tu kama debe tupuu na unayatesa mabega na miguu kubeba ubongo mzito usio na chochote
Wapi hapa kulipoandikwa kwamba wewe unaweza kunipangia cha kucoment?...halafu wewe kama nani sepa na mada yako achana na comments zangu zipo hivyo tuu na siwezi kucomment kulingana na ubongo wako mzito!