Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

atakuja yupo bussy

Siyo kwamba yupo busy sema tu kuwa anatafuta sasa uwongo wa kuja kutulisha humu. Ila na wewe unaonekana simu yako huwa inaisha chaji upesi kwani hata kwa ule mwonekano wako pande zile Wanaume wanakuhangaikia sana. Hujambo lakini? Usijali Shekhe ni yule yule uliyemzoea ila sasa kaja tu na Kanzu nyingine hata Nifah mbea namba moja humu na mfukunyuku aliyebobea analijua hili.
 
Mimi nilikutana na binti alinipa shida kidogo kila ninapomwona kwa mbali. Mara baada ya kuikamata namba yake nilirusha vocha ya buku. Kisha nikatuma SMS kuwa kwa sasa nipo tight na majukumu, mara apatapo muda anijulishe japo kwa SMS, kunipa feedback ya program ya maandalizi ya safari yake na gharama ninazotakiwa kusaidia. Then akaniuliza Ni Nani wewe. Nikajifanya Ni wrong #. Alichokosea kuniuliza Niko wapi. Mwanaume nikapenyea hapo hapo, baada ya siku kadhaa kazi ya Buku ikamalizika vizuri Tu.
 
Ningekuwa mimi ningejibu hivi.

1. Kwanza, nimekusoma kama mtu ambaye anakubalika kwenye jamii, kama nilivyo mimi. Unajiheshimu kwa mavazi na kauli. U mcheshi na mkarimu kwa wote. Nimechukua muda kukuchunguza, sijakurupuka "from nowhere". Mimi si wale wanaojitosa kichwa-kichwa bila kwanza kumchunguza na kumfahamu kidogo mtu ninayetaka kujenga urafiki naye.

2. Pili, mti wenye matunda ndio upigwao mawe. Wewe ni mzabibu, tena mzabibu wenye zile zabibu zenye harufu na matunda yaliyo bora zaidi. Kwa nini nisivutiwe nawe mpaka nikaitafuta namba yako?

3. Kuna rafikiyo ambaye ni msiri wangu ndiye aliyenipa namba yako kwa masharti kwamba nisilitaje jina lake kwako iwapo ungeniuliza. Kwa kuwa nimekula kiapo, siwezi kumsaliti.

Tuendelee na mahusiano yetu. Kwangu sioni kikwazo, lakini iwapo hujaridhia, Binti Mwema, nieleza, nitaacha kukufuata.

Asante.

Wako Mtiifu.

--------------------

Hivi ndivyo ningemjibu hilo swali.

Sijui wengine wangemjibu kwa namna gani.
Kwa style hii nitatulia tulii
 
Mkuu huo uwongo nilishaufanya na ukanitokea puani kwa majibu kama haya:
  1. Niling'ang'ania namba alinipa mwenyewe akaniuliza wapi nikajishebedua kusema kuwa tulipokutana Kibaha kumbe Demu mwenyewe yeye ruti zake ni London, Cape Town na Washington tu. Mkuu niliumbuka we acha tu.
  2. Nikasema kuwa nilipewa na Rafiki zake akaniuliza ni akina nani hao kama kawaida yangu nikajishebedua kuwataja kumbe mwenzangu yeye siyo Mtanzania na amekuja tu kwa rafiki yake na ilikuwa Kesho yake anarudi kwao nchini Uganda. Nimeumbuka tena hapo mkuu!
  3. Nilishawahi kusema hivyo hivyo kuwa mimi ndiye wakala niliyemsajilia line yake akaniumbua kuwa yeye simu yake alinunuliwa na Mama yake na ndiye huyo huyo aliyemsajilia line yake hiyo. Mkuu nilijiona mdogo kuliko hata kidonge cha Piriton.
  4. Na kuna siku nikajishebedua kuwa alikuwa ni classmate wangu akaniuliza Chuo gani nikamtajia TEOFIL Kisanji University kumbe mwenzangu ndiyo kwanza alikuwa amerudi kutoka Chuoni Havard Univesrity huko Marekani ambayo mimi nafanya kuisikia tu kama siyo kuiona katika mitandao. Mkuu tokea nipate aibu hizo sasa nipo LIKIZO ya kuwatongoza Mademu au Wanawake hadi hapo nitakapojipanga upya.
Daah Mkuu hebu tushushe kwanza.. maana mara harvard, mara washington, inamaana haujawahi kuwrong kwa akina PANGU PAKAVU?
amazing
 
Siyo kwamba yupo busy sema tu kuwa anatafuta sasa uwongo wa kuja kutulisha humu. Ila na wewe unaonekana simu yako huwa inaisha chaji upesi kwani hata kwa ule mwonekano wako pande zile Wanaume wanakuhangaikia sana. Hujambo lakini? Usijali Shekhe ni yule yule uliyemzoea ila sasa kaja tu na Kanzu nyingine hata Nifah mbea namba moja humu na mfukunyuku aliyebobea analijua hili.
nimekupata mkuu
 
Simu ndio habari ya mjini huyo jamaa anayepata namba ya simu halafu ameshindwa cha kufanya si.mjanja
 
Mkuu maneno matamu unayo lakini?
Itafute hiyo spray ni bei chee sana 15 elfu tu!
Shukrani zimuendee dada nanilii maana ndiye aliyenishawishi ninunue kwa mara ya kwanza!
Hebu mkuu nipm jina la hiyo Spray.. taafaaadhali
 
Mkuu hii issue ni mkubwa mno hasa pale unapokutana na bidada anaye jiamini juzi kati kuna rafiki yangu Wa ukweli nikapatia numba yake nikamwambia akikuhuliza umepata wapi numba yangu usinitaje eee jamaa alibanwa mpaka akanitaja kitendo ambacho mm kwangu ilikuwa msara kumuelimisha juu ya huyu bwana nikamwambia kachukua namba yako kwenye whtasapp alikuwa na cm yangu so amesema anakujua mlisoma wote primary ikawa ivo lkn akumjua kabisa kwahyo kiukweli hlo nitatizo sana aisee bora akupe mwenyewe inaweza kuwaraisi
 
Hebu mkuu nipm jina la hiyo Spray.. taafaaadhali

Kuna mtaalam mmoja wa masuala ya saikolojia aliwahi kusema ukiona Mwanaume anapenda sana MANUKATO au KUNUKIANUKIA jua ya kwamba ana ASILIMIA zote kwenda UPANDE WA PILI wa KIJINSIA au ni MTU MCHAFU KUPINDUKIA na ASIYEJIAMINI. Bado nami NALITAFAKARI hilo nijue kama lina ukweli au hapana.
 
Swali rahis sana hili! Kulijibu inategemea amekuuliza kwa "kiimbo gani ". Jibu nzuri. Namwambia usihangaike kuulizia na kumjua alienipa namba ila naomba usikilize kilichonifanya nikahangaika mitaa yote kutwa jua mvua kali kutafuta namba yako ndicho kikubwa.
 
Kwahiyo ulikosea namba halafu tena unamtongoza? Hivi inaingia tena akilini hapo? Kwa jibu lako hili tu naanza kuamini kuwa ni kweli Wanaume wengi wa siku hizi hawajui kutongoza.
Sijui ni kwanini ukikosea namba kwa mwanaume ndio kutongozwa kunafuatia!!
 
1.Unaandika sms hivi mfano "Juma vip Hizo million 5 ntakutumia kwa mpesa ili unichukulie ule mzigo wote huku Biashara inaendelea poa" hakikisha we mfanya Biashara alaf unaituma kama ume wrong numbe
2.oya Dulla Nipo chuo apa njo faster nimeksbir alaf naskia boom tayar , alaf unatuma kama ume wrong number kwa wewe mwana Chuo
3.Dogo nepoteza ID yangu pamoja na ATM zangu ebu nenda ghetto uchek, una wrong number hii ni kwa wale wafanyakazi wa maofisin kama vile, benki, ofisa yeyote au mwalimu unaweza tumia au daktari
. Zipo nyingi taja fani yako tukpe technic , chamsingi ni ule mwanzo tu nahuu ndo mwanzo mzur ila usifanye hiv kama huna sifa hiyo au usmfanyie dem wa JF maaana kashajua tayari ila weng sana huwanyaka bila shida kwa kutumia hiz mbinu. I'm out
Hahahaaa! Namfahamu alotumia njia kama hizo na akamnasa mtu kiulainiiii. Teh teh teeeh!
 
Back
Top Bottom