Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

Kwanini wanaume wengi hufeli swali hili wakitongoza?

"Bibie swala la nani kanipa namba yako si muhimu sana kwa wakati huu na wala hatupaswi kulipa kipaumbele maana namba ya simu sio siri ndio maaana kwenye phonebook yako una namba zaidi ya miambili,swali la msingi ambalo labda ingefaa uulize ni lengo la mimi kuitafuta namba yako na hatimae kuwasiliana na wewe,naomba uwe na amani ya nafsi sababu hutojutia kuwasiliana nami kisura"
 
Hapo technique ni kumzuga tu na kubadilisha mada tu,kiswahili mingimingi,akikomaa na wewe unakomaa mpaka ananywea
 
Back
Top Bottom