Kwanini wanaume watu wazima hampendi kupewa shikamoo?

Kwanini wanaume watu wazima hampendi kupewa shikamoo?

Hii inatokana na individual emotions coz wanaume ujiweka in simple ili wasiogopek na wanawak,but Shikamooo ni salam ya kawaida
 
Ukiwaamkia huwa una bana pua? Vipi macho na midomo yako, inakuwaje? Binafsi nadhani ni namna unavyowaamkia kimtego mtego ndio shida, mfano " shkaoo ya puani, huku umebinua midomo na kuzungusha macho, na pengine unatingisha, lazima wasahau kuitikia."

Siku nyingine fanya hivi, piga magoti , sema shikamoo kaka, baba , babu ukiwa unamuangalia usoni na macho makavu halafu omba na mkono uone kama hawata itikia.
 
Marhabaaa emmyta! jambo maama![emoji3] [emoji3]

Salamu ina nafasi yake na mambo ya chumbani yana nafasi yake
Hahaaaa. Nimecheka kwa sauti leo Mbalizi.

Yaani umetoa mfano ulio hai kabisa nadhani wenye kuelewa wameshaelewa yaani shikamoo haizuwii kitu.
 
Back
Top Bottom