Silent Heart
Member
- Jun 2, 2017
- 87
- 175
Hata wanawake.
Mama sura imemkakamaa kama soli ya kiatu ukimwamkia anakausha
Mama sura imemkakamaa kama soli ya kiatu ukimwamkia anakausha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wanaume hawa buana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na wewe Kaka huzipendi shikamoo nini?aisee
Mimi sikatai shikamoo, nikishakula papuchi shikamoo inakatika automatically. Kwa hiyo ni maamuzi yangu kuihitaji shikamoo au LA through matendo yangu.Kwa hiki walichoandika kuanzia post ya pili mpaka hapa nilipofika inaonyesha dhahiri wanaume walio wengi hawapendi shikamoo.
Poleni sana sababu sidhani kama inapunguza kitu muwage mnazipokea tu jamani.
hahahahaha uwiiiHata wanawake.
Mama sura imemkakamaa kama soli ya kiatu ukimwamkia anakausha
na wewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na ubichi wangu wote huu, hata hizi za ''mambo" ndio nimeanza kuzizoea sasa hivina wewe?
Mpe tu hiyo hiyo shikamoo atajua mwenyewe kama aitikie au vipi,ila mie nikipewa salam hiyo huwa napenda kuitikia "asante" kisha mengine yanaendelea sio kila mtu anapenda salam hii.Nishauri sasa, nikutanapo na mtu mzima umri kama baba yangu, je nimpe salamu gani?
hahahahaha muone eti ubichiNa ubichi wangu wote huu, hata hizi za ''mambo" ndio nimeanza kuzizoea sasa hivi
Hahahahahaaaaa.hahahahaha muone eti ubichi
ukweli kabisaHahahahahaaaaa.
Kwani uongo jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahahahaaaukweli kabisa
ulivyo mtoto mdogo wakikusalimia wanakuzeesha
hahahaahaHahahahahaaa
Umemwaga mpunga si kawaida[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mniache kabisa shikamoo zenu ziwezi kuzibeba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaaha
mpunga gani mie nimemwaga we si bado mbichi means bado mtoto
rudi hapaa
Pia kitendo cha mdada kutanguliza neno ''kaka" au kulitaja hata kwenye SMS anaboa sanaa.Wengine unawasalimia shkamoo anajibu salama, Pamoja na kwamba wanaona wanakuzidi umri mbali sana lakini wanajibu salama[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]