Kwanini wanaume watu wazima hampendi kupewa shikamoo?

Kwanini wanaume watu wazima hampendi kupewa shikamoo?

Mimi sikatai shikamoo, nikishakula papuchi shikamoo inakatika automatically. Kwa hiyo ni maamuzi yangu kuihitaji shikamoo au LA through matendo yangu.
Umeona sasa Zombi huo ndio ukweli shikamoo haina haja ya kukataliwa.

Sema sasa kuna wengine hata ikitokea hivyo bado shikamoo yako wanakupa tu.
 
Wengine unawasalimia shkamoo anajibu salama, Pamoja na kwamba wanaona wanakuzidi umri mbali sana lakini wanajibu salama[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani. Mie huwa najiulizaga ni kwamba hajasikia au ndio kujiona Shikamoo haimstahili.
 
Nishauri sasa, nikutanapo na mtu mzima umri kama baba yangu, je nimpe salamu gani?
Nadhani maamkizi mazuri niyale yalio fundishwa katika misingi ya kiimani na yanaleta maana Sana ama mtu kukataa hiyo salamu usifadhaike sana mdogo wangu hiyo nisehemu ya mabadiliko katika ulimwengu huu usidhani ni technology tu hata wazee wana swaga zakileo pia kama vipi mwambie niaje dogo uone atakavyo jibu fasta
 
Back
Top Bottom