Kwanini wanaume watu wazima hampendi kupewa shikamoo?

[emoji115] [emoji115] [emoji115] Hahaaaa. Nilipokusalimia nikakumbuka ulichoandika hapo juu. Lol.

Itikia tu bwana. Hahahaaaa.
hahaa kuitikia ngumu mkuu...sema wewe sura yko nzuri sio kuu kuu...so siwezi kuitikia aiseee...mema ya nchi yatanipita
 
Habari wana jamvi,

Naamini mko na siku njema. Kuna jambo ambalo huwa linanisumbua nikaona sio vibaya nikashare nanyi huenda nikapata uelewa.

Nimeshawahi kukutana na wanaume, watu wazima ambao kiukweli wamenizidi umri na nastahili kabisa kuwapa salam ya heshima "shkamoo" ila cha ajabu hawa watu wazima either watajifanya hawajasikia salamu yangu au hawataitikia kabisa. Ni umri ambao kiukweli kabisa wanakaribia au huenda wanalingana na baba yangu mzazi. Sasa why wakatae kuitikia salamu zangu??? Je ni kwangu tu au kuna wenzangu pia yashawahi kuwakuta?
Bagamoyo wazima?
 
Heshima unayo lakini Huruma hauna.
 
Kama unaona shikamoo mali basi chukua wewe. Acheni kutuzeesha. Kama unawaamkia wazaz wako inatosha.
 
Ss wewe hizo shkamoo zak unataka uwanyime nn yaan hujaelewa t nikwanini wanaikataa hiyo salam ww hujiuliz mt unamuakia shkamoo anaitik poa hujui anamaanish nn
 
Back
Top Bottom