[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kusalimiwa shikamoo na mtoto mzuri ni kuzeeshana na kutiana nuksi tu aiseee.
Raha ya mtoto mzuri akusalimie "mambooooo" na weye uitikie "pouwaaaaaaaaah" huku ukijikuna kuna likitambi.
Sio kuwa hawaitiki ila wanapatwa na kigugumizi au wanaitikia ndani kwa ndani ili usiwaogope wanapotaka kukubadilikia...Habari wana jamvi,
Naamini mko na siku njema. Kuna jambo ambalo huwa linanisumbua nikaona sio vibaya nikashare nanyi huenda nikapata uelewa.
Nimeshawahi kukutana na wanaume, watu wazima ambao kiukweli wamenizidi umri na nastahili kabisa kuwapa salam ya heshima "shkamoo" ila cha ajabu hawa watu wazima either watajifanya hawajasikia salamu yangu au hawataitikia kabisa. Ni umri ambao kiukweli kabisa wanakaribia au huenda wanalingana na baba yangu mzazi. Sasa why wakatae kuitikia salamu zangu??? Je ni kwangu tu au kuna wenzangu pia yashawahi kuwakuta?
Dalili ya uchoyo hiyoHabari wana jamvi,

Shekhe " Matumizi" gani hayoUkute mtoto mzuri, mrembo anafaa kwa matumizi halafu anashusha bonge la Shikamoo.
Daaahh inachosha sanaaa
Imekosa mvuto, hiyo salamu nisalimie Nyumbani kwangu sio mtaani au sehemu za kujidaiHabari wana jamvi,
Naamini mko na siku njema. Kuna jambo ambalo huwa linanisumbua nikaona sio vibaya nikashare nanyi huenda nikapata uelewa.
Nimeshawahi kukutana na wanaume, watu wazima ambao kiukweli wamenizidi umri na nastahili kabisa kuwapa salam ya heshima "shkamoo" ila cha ajabu hawa watu wazima either watajifanya hawajasikia salamu yangu au hawataitikia kabisa. Ni umri ambao kiukweli kabisa wanakaribia au huenda wanalingana na baba yangu mzazi. Sasa why wakatae kuitikia salamu zangu??? Je ni kwangu tu au kuna wenzangu pia yashawahi kuwakuta?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shekhe " Matumizi" gani hayo
shekhe tujulishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimecheka sana hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kipindi nilienda mwanza sehemu moja inaitwa buswelu nilikuwa naamkiwa shikamoo na watu wakubwa kbsa wengine umri sawa na mamangu nilishangaa sana
Hiyo salamu inanyima raha mabarobaroshekhe tujulishe
Naipokea na anatandikwa na ubor hadi akapepelee na feni fyeee fyeeee fyeee fyeeeeee fyeeeeeeeUkute mtoto mzuri, mrembo anafaa kwa matumizi halafu anashusha bonge la Shikamoo.
Daaahh inachosha sanaaa
aiseee...ni kweli shekheHiyo salamu inanyima raha mabarobaro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naipokea na anatandikwa na ubor hadi akapepelee na feni fyeee fyeeee fyeee fyeeeeee fyeeeeeee
Mbona huwa tunaitikia tu mjukuu wangu sema wewe labda huendani na mabinti wenye kujiheshimu ndo maana wanaipotezea.Habari wana jamvi,
Naamini mko na siku njema. Kuna jambo ambalo huwa linanisumbua nikaona sio vibaya nikashare nanyi huenda nikapata uelewa.
Nimeshawahi kukutana na wanaume, watu wazima ambao kiukweli wamenizidi umri na nastahili kabisa kuwapa salam ya heshima "shkamoo" ila cha ajabu hawa watu wazima either watajifanya hawajasikia salamu yangu au hawataitikia kabisa. Ni umri ambao kiukweli kabisa wanakaribia au huenda wanalingana na baba yangu mzazi. Sasa why wakatae kuitikia salamu zangu??? Je ni kwangu tu au kuna wenzangu pia yashawahi kuwakuta?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwa hiki walichoandika kuanzia post ya pili mpaka hapa nilipofika inaonyesha dhahiri wanaume walio wengi hawapendi shikamoo.
Poleni sana sababu sidhani kama inapunguza kitu muwage mnazipokea tu jamani.
Hiyo ndiyo salaam safi na bora kabisa kuwahi kutokea haina umri wala rika.Mtoto anaweza kumuamkia mzee kwa salam hii na ikatosha kabisa haina haja tena ya kuongeza makorokoro sijui 'shikamoo'Asalam aleykum
Habari wana jamvi,