hi babyNishauri sasa, nikutanapo na mtu mzima umri kama baba yangu, je nimpe salamu gani?
shida inakuja pale unapoamkiwa na mtu ambaye USO wake unabashiri kuwa mpo sawa kimakamo au yeye ndiye amekupita ..so unabaki kupigwa na butwaaa hahaaKwa hiki walichoandika kuanzia post ya pili mpaka hapa nilipofika inaonyesha dhahiri wanaume walio wengi hawapendi shikamoo.
Poleni sana sababu sidhani kama inapunguza kitu muwage mnazipokea tu jamani.
HAHAAAAAA emmyta muone huyu hahaaWatajua wenyewe . Pale magu kuna mama mmoja alikuwa anang'ang'ana niwe namwamkia nikawa natii kama alivyotaka sasa siku ya siku kibao kikageuka alipojikuta ananivulia chuppi yake yy mwenyewe kwa hiyari yake (tena nyeupeeee) akakung'utwa ubor moja supper marvelous hadi asubuhi kumekucha namwamkia hataki kbs badala yake ananiamkia yeye hadi leo hii na mkuyenge anatandikwa kama kawaida
Hahaa. Hao wanaojibebisha huwa hawazuiliki hasa huku mijini yaani walio wengi huwa hawapendi ukubwa.shida inakuja pale unapoamkiwa na mtu ambaye USO wake unabashiri kuwa mpo sawa kimakamo au yeye ndiye amekupita ..so unabaki kupigwa na butwaaa hahaa
hahaaa sasa waamkiwa namtoto mzuri yupo classic ambaye ulitegemea kuwa salamu Yke kwako itkuwa ni MAMBO VIPI..hpo lazima NI mute mkuuHahaa. Hao wanaojibebisha huwa hawazuiliki hasa huku mijini yaani walio wengi huwa hawapendi ukubwa.
Hahaaa. Hapo lazima ujifanye hujasikia. Teh.hahaaa sasa waamkiwa namtoto mzuri yupo classic ambaye ulitegemea kuwa salamu Yke kwako itkuwa ni MAMBO VIPI..hpo lazima NI mute mkuu
hahaa wanatufnyiaga kusudi tu Hawa ili kutunyima mema ya nchi...mfyuuuuuHahaaa. Hapo lazima ujifanye hujasikia. Teh.
hahaa shika yako nawewe
Hahaaaa.hahaa shika yako nawewe
na sura kama hiyo wanipa shikamoo hiyo vipi ..hahaaHahaaaa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji115] [emoji115] [emoji115]shida inakuja pale unapoamkiwa na mtu ambaye USO wake unabashiri kuwa mpo sawa kimakamo au yeye ndiye amekupita ..so unabaki kupigwa na butwaaa hahaa
Hahaaaa. Nilipokusalimia nikakumbuka ulichoandika hapo juu. Lol.na sura kama hiyo wanipa shikamoo hiyo vipi ..hahaa