Kwanini wanaume wanauliza maswali yakijinga?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo
 
Umeolewa dada?

Nazjaz, pole kwanza kwa kukwazika. Ila hapa ni sehemu ya kuongea tu, mi sidhani kama kweli huyo mbaba anamtamani hausgeli wake angetuambia hapa kwenye jamvi la wazi.

Watu wanaongea tu ili watu watoe maoni, kuna wengine watajifunza kitu kutokana na maoni hayo na wengine watapata burudani. Kwa hiyo usiwe na jazba.

kama una moyo mwepesi, basi chukulia JF kama vile unaangalia tamthilia kwenye TV......oops, kuna wengine wanachukulia mambo yanayotokea kwenye TV ni kweli, nadhani wewe sio mmoja wa wale watu wanaodhani kweli kuna mtu anaitwa Rambo huko marekani na anauwa watu na visu na anakula panya kwenye maandaki.....ni burudani tu.
 
Mbona we ulikuja na ukame wa kutongozwa unavyokusumbua?Hiyo ni bora kuliko mtu anaewekwa majaribuni na mfanyakazi wake?
 
sasa kwann na wewe unajibu hayo maswali ya kijinga?it takes one to knw one!am :angry:
 
Unaweza kuwa right kwa unachokisema, lakini ni vema uelewe huku kuna watu wa kila aina, wengine wanapenda kuandika tu bora waonekane wamepost something au kuanzisha new thread. Nitakukumbusha tu kwamba kama unaishi kwenye nyumba ya vioo usiwe wa kwanza kurusha mawe maana walio nje wakianza utafia humo. Juzi tu ulianzisha thread ya kwamba umekaa iki hujatongozwa na unaona kama una nuksi, sisi wengine pia tunaona yale ni mambo ambayo ni personal, kwa ufupi hakuna cha kujadili kama umezoea kutongozwa sisi wengine haituhusu. so understand kuna watu wa aina hiyo, inabidi tu tuvumiliane ili jf iendelee kuwepo. sorry kama nimekukwaza sister.
 
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo

Endeleea kumwomba Mungu unazo ziita Pumba zisikukute maishani mwako
 
Sometimes we just want to make conversation..., Kwa kusammarise angalia hizo qoutes

"There is no such thing as foolish Question...., Only foolish Answers"

"One who has all the answers is less than a fool.
A fool at least asks a question. "
 
Mbona we ulikuja na ukame wa kutongozwa unavyokusumbua?Hiyo ni bora kuliko mtu anaewekwa majaribuni na mfanyakazi wake?

Hahahahaha shem hapo umeuua mm nilimwambia labda amechuja viwango ndo maana hatongozwi wala kuangaliwa
 
The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:
Bigirita (Today)
 
Hahahahaha shem hapo umeuua mm nilimwambia labda amechuja viwango ndo maana hatongozwi wala kuangaliwa
Hahaha..shem yani huyu bidada anajisema mwenyewe bila kujua au sijui ndo kajipotezea!!Na kwa jinsi anavyowaandama...anamwagia hasira zote mpaka mumridhishe!
 
Sio lazima ufungue kila thread. Ukiona ovyo unaipotezea.
Halafu uwe unashinda majukwaa yaleeeee.
 
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo
Kumbe wakati mwingine huwa unamawazo mazuri tu.
 
Nazjaz kama naota vile, hao sio wewe uliyetuma habari za kutongozwa mpaka D na M wakalumbana wee mpaka wakapotezea, kweli nyani haoni k..le
 
Back
Top Bottom