Kwanini wanaume wanauliza maswali yakijinga?

Hahaha..shem yani huyu bidada anajisema mwenyewe bila kujua au sijui ndo kajipotezea!!Na kwa jinsi anavyowaandama...anamwagia hasira zote mpaka mumridhishe!

Well said Lizzy. Kutongozwa si personal?? Watu wengine bana aakkkhh
 
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo

Kwani lazima uchangie?? Kama unaona pumba endelea kwingine si lazima na usitupangie cha kuzungumza. Katongozwe hukooooooooo
 
Watongozaji umepata? Maana uliandika kuwa ukimaliza wiki bila kutongozwa unaenda kwa mganga!
 
Mambo dear, leo umetongozwa na wangapi
afu sred zetu za kijinga uwe unazipotezea tu thawa eeeeeeeh
 
Kwani lazima uchangie?? Kama unaona pumba endelea kwingine si lazima na usitupangie cha kuzungumza. Katongozwe hukooooooooo

punguza jazba mama,
kwa mtoto wa mwanamke mwenzio!!!!

BTW: Ameshakusoma
 
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo

HII SIO YA KIJINGA?:A S thumbs_down:
Wiki nzima bila kutongozwa
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
 
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo

Nazjaz nakubaliana na wewe kabisa. Tukianza kuangalia kwa jicho la wanawake kweli sisi wanaume kuna wakati ni wajinga kiasi. Lakini ukianza kuangalia na upand wenu unaweza kucheka sana.

Kuna siku nilimletea mama yangu Biskuti, mpaka leo ananiona wa maana sana. Siku nyingine nililetea majani tunayoita mauam hata huwezi kuamini alivyofurahi.

Kuna dada mmoja nilimnunulia chocolate (si kama yeye hakuwa na hela ya kununulia chocolate) lakini huwezi kuamini response yake ulivyokuwa nzuri ajabu.

Wakati mwingine huwa na sisi wanaume tunashangaa sana kuhusu nyie wanawake. Hata wanawake kuna wakati wana maswali unaweza kushangaa sana. Unaweza kuoina kavulana kenye miaka 10 kana uliza maswali yanayomake sense kuliko mwanamke kwenye miaka 30.

Kwa hiyo sioni kama ni vizuri tukisemana, kilam mmoja kwa macho yake ana mtazamo wake.
 
Asante kwa mtazamo wako.... Sijui unatumia vipimo gani kuona kama swali ni la kijinga.... maana waswahili wanasema kuuliza si ujinga.....kwa wana saikologia huwa wanatumia maswali ya kijinga zaidi kuliko ya unayodhani ni ya kitaalam katika kufanikisha wanalolitafuta. Mie nadhani kazi kubwa ya JF ni kuelimisha ndo maana hata wakati mwingine wengine wakiuliza pumba wanastahili kujibiwa..... Kumbe sio wote wana busara hapa katika uulizaji au utoaji mada( KUMBUKA HILI NI JAMVI..au chukulia vikao vya harusi mfano wake)....Pia nadhani kama unaona mtu anatoa pumba achana nae tu kwani itagharibu nini kupita thread bila kuifungua..... Kila la heri.
 
Humu JF utasikia baba mzima ana watoto na familia yake anauliza pumba mpaka unaboreka, eti hausi geli wangu ananitega, marta namtamani mamamkwe mara nini sijui...
Those are personal issues, sidhani kama JF tunatakiwa tuzijue, na wala hatuna muda wa kupoteza kujibu au kushauri kwenye thread za namna hiyo.
Labda kwa wale walio na muda mwingi wa kupoteza watakuwa na michango yao kwenye thread za namna hiyo

Du mbona mwenzio mie huwa namtamani yule house boy wa pale jirni yako nisaidie please!! haaa nimesahau kumbe aboa wewe sorry.
 
Wakuu,

Nazjaz amerudi kutoa feedback kuwa zile shida zake zimetatuka lakini ametumia lugha ya kiutu uzima tu.
Tumpe hongera. Personal issue yake ya kutokutongozwa imeisha.
Sasa shida imeisha kwa hiyo, wengine wenye shida za personal wasilete ujinga wao, wasije na maswali ya kijinga hapa Nazjaz au vipi?
Hongera dada...na sisi tutaacha kuja na masuali ya kijinga.
"mswahili akipata................hulia bwata!"
 
kwa wale ambao wana uenyeji pale milembe nazani watufanyie favour ya kumpatia kitanda huyu mleta sredi hapo milembe. nazani wiki hii hajatongozwa sasa zimefyatuka kidogo.
 
avatar20141_1.gif
 
Back
Top Bottom