MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Naona nimekugusa sana huna point zaid ya kutoa povu tú dume zima unasuport madume wenzio kusukwa?LOL bila aibu? paka na shedo kabisaaaa maana unatamani kua mwanamke kama mm kumbuka kua amelaaniwa mwanamke anayejifananisha na mwanaume na Mwanaume anayejifananisha na mwanamke.....kwa namna moja ama nyingine iwe mawazi n.k.
Ee Mungu nusuru vizaz vyetu!!!!!!!
Kwanza sijatoa povu...bali nimekujibu kistaarabu sana tena kwa hoja mzuri zenye mifano tele.
Ila kwa huu uandishi wako wa vijembe na kashfa nitashindwa kujadiliana na wewe na sina budi
kusema ahsante kwa hii comment yako...mshindi ni wewe na mimi nimekubali kushindwa.