Kwanini wanaume wanasuka nywele?

Kwanini wanaume wanasuka nywele?

Acha kuongea upuuzi wewe ficha upumbavu wako

dah! Nijibu kwa hoja sio unanivujia bila kuwa na pointi.....mi sioni tatizo maana hakuna muongozo wa hili hata ktk vitabu vya dini, tena naamini misuko ni kwa ajili ya watoto wa kiume ila watoto wa kike kama kawaida yao kurukia tabia za kiume nao wakaanza kusuka!
 
Huyu mwenye manyoya kufuani na kwenye mashavu ni mwanaume au mwanamke???
queen3.jpg
queen.jpg

queen6.jpg
 
Sijui nini kinawavutia wanaume wasuka nywele labda wenyewe waje watoe ushuhuda. Ila mimi ni kati ya watu ambao kamwe sijawahi kusuka ni sitokaa nisuke nywele kamwe kwa sababu najua kuwa kusuka ni kwa kina dada na wamama na wanafanya hivyo kama sehemu ya urembo - yaani kama kupaka lip stick vile.
 
Mwanaume hata kufuga nywele ni ushoga tu!Unapata muda gani wa kutunza nywele kila siku?

Halafu kama mtafuatilia asili ya vitu kama pete mnazoita za ndoa,mtashangaa kwani ilikuwa ni ishara ya mtu ambaye ameshaingiliwa mf kwa mwanamke ni ishara kuwa siyo bikra na kwa mwanaume basi ilionyesha naye kishaingiliwa kinyume!Ila siku hizi wanavalishwa tu kanisani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hakuna dume rijali lilokamilika haswaaaaa likaketi chini kitako Eti linasubiria kusukwa LOL wanaume wanaosuka wote ni mashoga tú
Kwanza punguza hasira...na pili naheshimu mawazo yako kwani tuku kwenye forum huru.
Siyo kweli kuwa wanaume wote wanaosuka ni mashoga...kusuka style ya kiume ni sehemu ya urembo pia au swaga kama swaga zingine tu. Ndiyo maana umeambiwa mkaka au kijana anaependa kusuka inategemea anafanya kazi gani na anaishi mazingira gani na hata umri wake pia.
Hivi unataka kuniambia masuper star wa Ulaya na America kama wakina David Bekham,Moris,Bakari Sagna nk. Hao wote ni
mashoga? Jibu ni hapa...mimi nafikiri kusuka ni hulka na mazoea tu ya mtu mwenyewe. Hebu angalia wanamuziki wa kiume wa hapa kwetu TZ na wa nchi za nje wanavyopenda kusuka style za natural hair'! Hawa wote ni mashoga?
 
Hakuna dume rijali lilokamilika haswaaaaa likaketi chini kitako Eti linasubiria kusukwa LOL wanaume wanaosuka wote ni mashoga tú
Pole sana! Kwa taharifa yako wanaume wanaojari mwili wao wanaenda salon anaweka ------ chini...anafanyiwa pedicure,manicure,super facial na hata body massage. Kuhusu kusuka nasema tena inategemeana na mazingira na hulka ya mtu,lakini hata hapo pia mwanaume anakwenda salon anaosha nywele zake,wanam-bodry kisha anasukwa style za kiume(hasa siku za weekend) kusuka style za kiume ni moja ya swaga kwa wakaka.
 
Wadau naomba kuuliza, hivi ni kwanini mwanaume anasuka nywele?

Hivi inakuwaje mwanaume mzima na rijali unaenda saloon za kike na wewe unaweka kichwa mwanamke anakupumulia kisogoni?

Inawezekana hawa jamaa huwa wanavaa hata sidiria! Who knows bwana!

Kama ameweza kusuka nywele aonekane kama mwanamke, inawezekana wanavaa hata chupi za wapenzi wao.

Hivi mwanaume aliyesuka nywele anaweza kumcheka shoga?

Mmmmmmmm! jaaamani kwa mwanaume kusuka inaleta ukakasi kidogo.

Ukiona binadamu ana kikojoleo kinachofanana na choko halafu kasuka nywele huyo sio mwanaume kabisa

Jua huyo ni mvulana

Tafadhali tutake radhi wanaume wote!
 
Wasiwasi wako hauna ukweli na kabla sijaendelea kuchangia huu uzi, nakuomba wewe na Munkari muwaombe radhi wamasai na makabila mengine ambayo wanaume kusuka na kuvaa hereni ni sehemu ya utamaduni wao.

Wamasai it is known.....
 
Umeona eeh yaani wanatamani wangezaliwa Wanawake LOL Mungu anusuru vizaz vyetu

Hawa wengine wanakuja kujtoa ufahamu tu
wanahoji wamasai, kwani wamasai wanasuka twende kilioni?
mfxuuuuuuuuuuu
 
Sijui nini kinawavutia wanaume wasuka nywele labda wenyewe waje watoe ushuhuda. Ila mimi ni kati ya watu ambao kamwe sijawahi kusuka ni sitokaa nisuke nywele kamwe kwa sababu najua kuwa kusuka ni kwa kina dada na wamama na wanafanya hivyo kama sehemu ya urembo - yaani kama kupaka lip stick vile.
Mkuu, kwanza umewahi kumuona mwanaume au mkaka gani hapa Bongo amesuka kwa kutumia Rasta au Kanekalon material kwa style za pick and drop au yeboyebo ya kike kabisa alafu anatembea barabarani au anaingia ofisini kufanya kazi? Hakuna kitu kama hicho mkuu kwani hizo ni style za kike kabisa mkuu wangu...tunachoongelea hapa na ninachokitetea mimi ni hizi style za cornrow hair za kiume...tena kwa kutumia nywele zake za asili.

Lakini kinachoonekana hapa ni baadhi ya wachangiaji kuonyesha au kuaminisha kama hao wakaka au wavulana wanakaa chini kama wanawake na wanasuka yebo yebo au Salsa hair style kama za wanawake...hakuna mwanaume rijali anayeweza fanya hicho kitu na akikifanya basi ni kweli mwanaume huyo atakuwa shoga.
 
Mzungu wa kiume au Black American wa kiume akisuka cornrow hair style...all eyes on him na misifa kede kede.
Ila mkaka wa Kibongo akisuka cornrow hair style...basi ni shoga. Ha ha haa
 
Kwani aina ya msuko inamatter au ili mradi tu mwanaume amesuka nywele!!?
Hapo sasa...naona kwa wenzetu hawa haijalishi ni msuko gani.
Alafu ni hawa hawa walikuwa wanatizama Big Brother Africa ambayo ilijaa wavulana waliosuka cornrows hair style na walikuwa wanawasifia,kuwa shabiki na kuwapigia kura ili asitolewe na ashinde kitita cha pesa.
 
Back
Top Bottom