mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Vyovyote vile. Ila huu ndio mpango mzima kwa sasa.
Hakuna dume rijali lilokamilika haswaaaaa likaketi chini kitako Eti linasubiria kusukwa LOL wanaume wanaosuka wote ni mashoga tú
Kama nilivyosema awali mimi siyo mzoefu na usukaji wa nywele kwa wanaume. Hivyo hizo tofauti unazoongelea sizijui wala siwezi kuzigundua nikikutana na mwanaume aliyesuka. Lakini bado nina shauku ya kujua ni nini hasa kinamsukuma mwanaume wa kawaida aamue kusuka na ajione amependeza zaidi kwa sababu tu amefanya hivyo!.Mkuu, kwanza umewahi kumuona mwanaume au mkaka gani hapa Bongo amesuka kwa kutumia Rasta au Kanekalon material kwa style za pick and drop au yeboyebo ya kike kabisa alafu anatembea barabarani au anaingia ofisini kufanya kazi? Hakuna kitu kama hicho mkuu kwani hizo ni style za kike kabisa mkuu wangu...tunachoongelea hapa na ninachokitetea mimi ni hizi style za cornrow hair za kiume...tena kwa kutumia nywele zake za asili.
Lakini kinachoonekana hapa ni baadhi ya wachangiaji kuonyesha au kuaminisha kama hao wakaka au wavulana wanakaa chini kama wanawake na wanasuka yebo yebo au Salsa hair style kama za wanawake...hakuna mwanaume rijali anayeweza fanya hicho kitu na akikifanya basi ni kweli mwanaume huyo atakuwa shoga.
Very correct, brief and clear.Shtuka wewe!! Life + technology Goes with fashion!! Kuna kipindi utaelewa tu
Hebu ni PM ilumbuye tuone!!nahisi nakufahamu..kuna siku nita ku pm