Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Then apologise..
Kisa we unasuka????
he he he he halo ya simba mla kitimoto
nicheke ninenepe mie nikonde nna mme.....
Then apologise..
No please usichoke, I have one more question.kwani we unaonaje?
haya muweke hapo mr blue kasuka twende kilioni na mmasai afu uwalinganishe
majibu unayo mwenyewe usinichoshe nisikuchoshe!!!.
No please usichoke, I have one more question.
Kwa hiyo mwanaume asiposuka twende kilioni kama blue, akasuka zinazofanania na zile mitindo za kimasai wewe huna tatizo nae!??
Jamani!!!!Kisa we unasuka????
he he he he halo ya simba mla kitimoto
nicheke ninenepe mie nikonde nna mme.....
yupi huyo??kama ni huyu hujamtendea haki hata kidogo.. labda mleta mada..lakini mbona ye anapinga??
![]()
Mkuu,siyo wewe tu...hata mimi mwenyewe sijawahi kusuka cornrows hair style lakini hiyo hainifanyi mimi niwaponde na kuwabeza baadhi ya vijana wenzangu wanaopenda kwenda na hizo swaga. Ila mimi ni muumini mzuri sana wa kuweka Crazy permanent color kwenye natural hair zangu...huwa napenda kuchanganya color kama tatu hivi ambazo ni za ukweli alafu naweka rough hair style(like bohmien curls) kiukweli huwa naonekana very unique niwapo kwenye foleni au niingiapo sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu kama super market nk...tena baadhi ya wadada utawasikia kaka umependeza!!MillionHairs, kweli mimi ni kijana wa umri huo wa 25-40 lakini swaga za namna hiyo kusuka, maadili yameniepusha, lakini vyovyote vile ikiwa kura raha hata ukiwa na mkoko wako na familia yako unakula tu kokote na vizuri kuliko hizo swaga za ajabu....
Pamoja sana mkuu, binafsi nina Natural Afro Hair (siyo ndefu sana na siyo fupi sana)lakini ni Afro ya ukweli mentalic black.Jamani!!!!
Hili ndio tatizo letu, mtu usipoona kosa katikakitu flani watu wanadhani na wewe unafanya, kwa nini?
Mimi ni msukuma pure kabisa nyumbani ni Lyamidati, ukiachilia mbali taalumu yangu pamoja na kazi ninayofanya kutokubaliana na vitu kama kusuka nywele, mimi binafsi sipendi na wala sijawahi waza kufuga nywele achilia mbali kusuka.
Pamoja na kutopenda kwangu, lakini sio kitu cha ajabu mwanaume kusuka, inategemea na mazingira na kazi yake, Mbona waganga na wacheza ngoma za kienyeji baadhi husuka nywele na hujaza mashabiki hukohuko usukumani!!??, Lekaga nkimaebhe, kwandya nakutogilwe, nadasukaga unene, utizuunilema, dihaya nakupm tuyombe kisoga.
Mambo ya ujana; kama mtu umekulia vijijini lazima ushangae vitu kama hivyo... lakini kwa mjini ni jambo la kawaida mwanaume anasuka, anavaa heleni, cheni n.k na wengine wanafunga vilemba kichwani - KAWAIDA TU. Mbona hujiulizi mwanamke kuvaa suruali na kunyoa kipara???
Hana aidia na huyo mtu,,,,huwenda hata hajawai kumwona.
Naona nimekugusa sana huna point zaid ya kutoa povu tú dume zima unasuport madume wenzio kusukwa?LOL bila aibu? paka na shedo kabisaaaa maana unatamani kua mwanamke kama mm kumbuka kua amelaaniwa mwanamke anayejifananisha na mwanaume na Mwanaume anayejifananisha na mwanamke.....kwa namna moja ama nyingine iwe mawazi n.k.Pole sana! Kwa taharifa yako wanaume wanaojari mwili wao wanaenda salon anaweka ------ chini...anafanyiwa pedicure,manicure,super facial na hata body massage. Kuhusu kusuka nasema tena inategemeana na mazingira na hulka ya mtu,lakini hata hapo pia mwanaume anakwenda salon anaosha nywele zake,wanam-bodry kisha anasukwa style za kiume(hasa siku za weekend) kusuka style za kiume ni moja ya swaga kwa wakaka.
Naona nimekugusa sana huna point zaid ya kutoa povu tú dume zima unasuport madume wenzio kusukwa?LOL bila aibu? paka na shedo kabisaaaa maana unatamani kua mwanamke kama mm kumbuka kua amelaaniwa mwanamke anayejifananisha na mwanaume na Mwanaume anayejifananisha na mwanamke.....kwa namna moja ama nyingine iwe mawazi n.k.
Ee Mungu nusuru vizaz vyetu!!!!!!!
hahahahaaa!!! mkuu hujaona wenye sura kama remmy ongala?