Kwanini wanaume wanasuka nywele?

Kwanini wanaume wanasuka nywele?

nahisi nakufahamu..kuna siku nita ku pm
Jamani!!!!
Hili ndio tatizo letu, mtu usipoona kosa katikakitu flani watu wanadhani
na wewe unafanya, kwa nini?
Mimi ni msukuma pure kabisa nyumbani ni Lyamidati, ukiachilia mbali
taalumu yangu pamoja na kazi ninayofanya kutokubaliana na vitu kama
kusuka nywele, mimi binafsi sipendi na wala sijawahi waza kufuga nywele
achilia mbali kusuka.

Pamoja na kutopenda kwangu, lakini sio kitu cha ajabu mwanaume kusuka,
inategemea na mazingira na kazi yake, Mbona waganga na wacheza ngoma za
kienyeji baadhi husuka nywele na hujaza mashabiki hukohuko
usukumani!!??, Lekaga nkimaebhe, kwandya nakutogilwe, nadasukaga unene,
utizuunilema, dihaya nakupm tuyombe kisoga.
 
mie napenda Navio wa Ug anavosuka...anakua handsome sana
 
mie napenda Navio wa Ug anavosuka...anakua handsome sana

bNavio2.jpg
segawa.bmp
 
Mnazoeshwa taratibu na mmekubali lakini hamtaki kumalizia.
Haya yote ni maandalizi tu ili mwisho wa siku siku tutekeleze lile ombi la Obama na Cameroon kwa ulaini.
Msiwe wakali basi tunapotakiwa kufanya ile kitu Museven alimegomea, mbona maandalizi yake mshafaulu?

Asante umemaliza,hakuna swali
 
Naona nimekugusa sana huna point zaid ya kutoa povu tú dume zima unasuport madume wenzio kusukwa?LOL bila aibu? paka na shedo kabisaaaa maana unatamani kua mwanamke kama mm kumbuka kua amelaaniwa mwanamke anayejifananisha na mwanaume na Mwanaume anayejifananisha na mwanamke.....kwa namna moja ama nyingine iwe mawazi n.k.
Ee Mungu nusuru vizaz vyetu!!!!!!!

Mwisho wa siku ni kutongozwa tu,na kulima 0713
 
Wanume wanaosuka, wanaovaa hereni, mlegezo nk ni MASHOGA
 
Mwanaume hata kufuga nywele ni ushoga tu!Unapata muda gani wa kutunza nywele kila siku?

Halafu kama mtafuatilia asili ya vitu kama pete mnazoita za ndoa,mtashangaa kwani ilikuwa ni ishara ya mtu ambaye ameshaingiliwa mf kwa mwanamke ni ishara kuwa siyo bikra na kwa mwanaume basi ilionyesha naye kishaingiliwa kinyume!Ila siku hizi wanavalishwa tu kanisani!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

hii ya pete umeitoa wap?
 
Ili uweze kufika 3 basi 1 na 2 huwe umezipita...ukipenda ukihusudu kinachoamishika actually uta-copy na ku-paste...wasukao wamependa na wanahusudu tabia na matendo ya dada zao suala hili litawafikisha 3(ushoga) kwa maana 1 na 2 wamekwisha zipita as we see european nations needs Africans to accept no 3 (ushoga) coz we have already pass no 1 n 2...they ar not stupid than u think...wameliona hilo kuwa wanaojiita wanaume wapo wengi Africa
 
wengine wanafuata mkumbo tu. madada wengine safi sana kuna sister moja alikomaa kwelikweli kuwa hawezi kuwa na BF mvaa hereni,msuka nywele yaani wafuatane kwenda saloon waingie wote duka la vipodozi halafu asubuhi wabanane dressing table...upuuzi nilimwona mdada yule anaakili sana, pia wavulana wengine kuiga itakugharimu maisha yako yote kama kuchora tatoo nk nilikuwa form six at foolish age marafiki zangu wawili walitaka kusuka,kuchora tatoo kisa kuiga wahuni wa USA,leo wanajutia kama wangefanya bse moja wao leo luteni,mwingine ASP wa magereza kwa hiyo tuwashauri wadogo zetu wasiige upumbavu mlambe beto kabisa
 
Ili uweze kufika 3 basi 1 na 2 huwe umezipita...ukipenda ukihusudu kinachoamishika actually uta-copy na ku-paste...wasukao wamependa na wanahusudu tabia na matendo ya dada zao suala hili litawafikisha 3(ushoga) kwa maana 1 na 2 wamekwisha zipita as we see european nations needs Africans to accept no 3 (ushoga) coz we have already pass no 1 n 2...they ar not stupid than u think...wameliona hilo kuwa wanaojiita wanaume wapo wengi Africa

Hongera sana umeongea logic
 
Tyta si unaona boga na kichwa vilivofanana....
ha ha ha umenchekesha na hizo picha zako loh!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom