Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,292
- 28,722
Ya mtoa madaUnahitaji kujua nn mkuu
Ya mtoa madaUnahitaji kujua nn mkuu
Hapo tatizo ni police kuwa bias kupenda kutumiwa na wanasiasa na kuacha kufanya kazi kutokana matakwa ya katiba.Ya mtoa mada
Wewe unafanya kazi hadi saa 9 za usiku ?Hakuna polisi anayefanya kazi "masaa 24" ukiona kazidisha saa 24 , basi ana issue zake binafsi!
"Hakuna kulala, iwe mvua liwe jua"..??
Mbona hayo ni maisha ya kawaida tu kwa waTz wengi? Watu wana hustle kwenye hali mbaya zaidi ya hizo??
"Tena kazi ya hatari"...
Acha kutafuta huruma na ma sympathy
Mtu yoyote anayejitafutia riziki anaelewa risk anazoweza kukutana nazo..
Na sio kazi tu ya upolisi ndio risk zipo nyingi.
Hata kuendesha boda ni risk, migodini, etc.
Kulipwa mshahara mdogo kusikufanye ukaingiwa na tamaa ya kutaka mafanikio ya haraka ... ukajikuta unafanya uhalifu kupitia mgongo wa upolisi/uaskari wako !!
Uko sawa kwa upande wako.. !Wewe unafanya kazi hadi saa 9 za usiku ?
Hata iwe kwa zamu. Wewe ushawahi ?
Huwezi ku generalise kuwa Polisi wote hawafai au sio waadilifu.
Polisi ni Raia kama raia wengine.
Ndio maana unaona ufisadi kila sekta za umma inafanyika vitengo ambavyo sio vya kipolisi.
Kwa ujumla Polisi wamefanikiwa katika huduma zao.
Hii haizuii kuwa na kasoro maeneo flani flani kama ilivyo katika jamii zetu zingine.
Maadili ya Polisi lazima yaanzie kwa jamii ambako Polisi wanazaliwa na kulelewa na kufundishwa shuleni na vyuoni vya kiraia.
Kama jamii haitekelezi majukumu yake ni vigumu kupata Polisi waadilifu.
Hivyo ni jukumu la jamii nzima kupandikiza maadili mema kwa watoto na raia kwa ujumla.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ujue.
kwasabab hawafanyi kazi ya jeshi la policeWanadhulumu raia mali zao?
Wanabambikia raia kesi?
Wanachukua rushwa kwa nguvu?
Wanapiga raia hovyo hovyo?
Wananachukua wake za watu kwa nguvu?
What' s wrong with PT?
upotoshaji,ili tusitupie lawama kwa jeshi? umefeli brazaWewe unafanya kazi hadi saa 9 za usiku ?
Hata iwe kwa zamu. Wewe ushawahi ?
Huwezi ku generalise kuwa Polisi wote hawafai au sio waadilifu.
Polisi ni Raia kama raia wengine.
Ndio maana unaona ufisadi kila sekta za umma inafanyika vitengo ambavyo sio vya kipolisi.
Kwa ujumla Polisi wamefanikiwa katika huduma zao.
Hii haizuii kuwa na kasoro maeneo flani flani kama ilivyo katika jamii zetu zingine.
Maadili ya Polisi lazima yaanzie kwa jamii ambako Polisi wanazaliwa na kulelewa na kufundishwa shuleni na vyuoni vya kiraia.
Kama jamii haitekelezi majukumu yake ni vigumu kupata Polisi waadilifu.
Hivyo ni jukumu la jamii nzima kupandikiza maadili mema kwa watoto na raia kwa ujumla.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ujue.
Tuambie ndugu mbambikiaji,mbona unajihami kwani nawe mmoja wao?upotoshaji,ili tusitupie lawama kwa jeshi? umefeli braza
hata kama mm sijawah kudhurumiwa na jeshi la police,lakin nimeshuhudia kwa wengine wengi maovu waliyotendewa na jeshi la police na si kuwa ni kwa bahati mbaya bali ni kuwafurahisha baadhi ya watetea matumbo yaoTuambie ndugu mbambikiaji,mbina unajihami keanu nawe mmoja wao?
Subiri siku wakufanyie cha kukufanyia hiyo toa harufu ya kinyesi kama unavyo toa hapa.Ni baadhi tu yao tena ni wachache sana.
Polisi wengi ni weredi sana na wana busara nyingi.
Licha ya kuwa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana ni wavumilivu sana.
Nalipongeza sana Jeshi la Polisi kwa Utumishi Uliotukuka.
Wanalinda matumbo yao,ndo maana ni manyang'anyi hayo.Sure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
Umeandika kinafiki sana,ni%00.5 ya polisi ni waaminifu.Hawachukiwi na watu wote, wanaowachukia ni baadhi tu ya raia kutokana na sababu mbalimbali kama.
1. Baadhi ya wananchi ni wahalifu adui yao ni Polisi.
2. Baadhi ya Polisi (wachache sana) hawazingatii kufanya kazi kwa miiko ya Jeshi la Polisi.
3. Baadhi ya raia wanasikia tu kuwa Polisi ni wabaya na wanaamini bila kujiridhisha.
4. Baadhi ya raia hata hawajui majukumu ya Polisi na hawataki kuyaelewa.
5. Hakuna elimu ya kutosha ya kuwafahamisha raia majukumu ya Polisi.
6. Baadhi ya Polisi wanajiweka kando na raia. (Mtoto akimwona Polisi anakimbia anamwogopa kwani kila akimwona basi anakuja kukamata wahalifu, hajawahi kumwona akishirikiana na raia ktk jambo lolote zuri)
7. Baadhi ya Polisi ni wakali sana hata kwenye jambo lisilohitaji kufanyika kwa ukali, wanatumia nguvu kupita busara. Inasababisha Polisi kumwona
kila raia ni mhalifu, hali kadhalika raia naye kumwona kila Polisi ni Adui.
8.Baadhi ya Polisi wanawadharau raia, hivyo kukosa ushirikiano wa karibu na raia.
9. Baadhi ya Polisi wanawatisha raia. Wanajiweka katia hali ya kutisha.
Hata raia akiona jambo baya mahali anaogopa kuliripoti Polisi ili kuondokana na hasara anayoweza kuipata binafsi kama, kugeuziwa kesi nk.
10. Ukosefu wa Elimu ya kutosha ya "Mahusiano ya Polisi na Raia" yaani ( Civil Police Relations) katika jamii ya Police na Raia.
Kuna haja ya kusisitiza mtaala wa (Thamani ya Raia kwa Polisi)
Katika vyuo vyetu vya Polisi.
Pia Nadharia ya Polisi Shirikishi itiliwe mkazo.
Elimu ya, wajibu wa Polisi, inabidi nayo itolewe kwa vijana mashuleni na kwa wananchi wote. Ili wajue majukumu yao halisi na wasaidiane nao kwa kiwango gani.
Machache ninayoweza kusema.
Raia wameshachoka, Polisi na bomba lake mkononi Raia yuko tayari wazipige mtu mbili.Sijui ila mimi nimeona hii video wananchi wakitaka kupigana na polisi mwenye bastola baada ya kuona anawafuata fuata ilihali wameshampa pesa. View attachment 1912664
Apia.Sure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
Hili jeshi la polisi limeharibiwa na serikali ya ccm. Serikali inafahamu vizuri sana namna jeshi hili linavyonyanyasa raia kwa kuwatesa na kuwabambikia vyesi feki.
Lakini serikali haiwezi kusema chochote kwani wanaona jinsi jeshi hili linavyowahangaikia wakati wa uchaguzi na kuwafanya wapate "Ushindi wa Kishindo", hivyo serikali haina namna inabidi wawafumbie tu macho.
Hili jeshi la polisi wakati wa uchaguzi na hata baada ya uchaguzi, wako tayari kufa lakini ccm ibaki madarakani kwa njia zozote zile yaani punda afe lakini mzigo ufike.
Wewe walikufanya nini Polisi hadi upaniki namna hii ?Subiri siku wakufanyie cha kukufanyia hiyo toa harufu ya kinyesi kama unavyo toa hapa.
Wacha Uwongo.Umeandika kinafiki sana,ni%00.5 ya polisi ni waaminifu.
Yanatoka moyoni haya?Ni baadhi tu yao tena ni wachache sana.
Polisi wengi ni weredi sana na wana busara nyingi.
Licha ya kuwa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana ni wavumilivu sana.
Nalipongeza sana Jeshi la Polisi kwa Utumishi Uliotukuka.
kwasabab hawafanyi kazi ya jeshi la police
Yaani Rushwa ni tatizo kubwa, tena ya kulazimisha.Maaskari wengi Ni wahalifu na wanababikimbia Raia kesi na kutaka rushwa ndio maana hamza kawanyoosha baadhi