Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,625
- 3,233
Unauchama kwenye damu yako. Ndio kitu inayotumaliza iyoSiyo wananchi ni nyumbu chadema ndiyo wanachuki na polisi
Unauchama kwenye damu yako. Ndio kitu inayotumaliza iyoSiyo wananchi ni nyumbu chadema ndiyo wanachuki na polisi
Wanadhulumu raia mali zao?
Wanabambikia raia kesi?
Wanachukua rushwa kwa nguvu?
Wanapiga raia hovyo hovyo?
Wananachukua wake za watu kwa nguvu?
What' s wrong with PT?
Yaonesha wew kijana babayako ni askari hautaki kuchafuliwa. Maaskari wengi ni waharifu, wavunjani wa sheria, wanakandamiza haki za raia.Ni baadhi tu yao tena ni wachache sana.
Polisi wengi ni weredi sana na wana busara nyingi.
Licha ya kuwa wanafanya kazi katika mazingira magumu sana ni wavumilivu sana.
Nalipongeza sana Jeshi la Polisi kwa Utumishi Uliotukuka.
Siyo wananchi ni nyumbu chadema ndiyo wanachuki na polisi
Sure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
Hawachukiwi na watu wote, wanaowachukia ni baadhi tu ya raia kutokana na sababu mbalimbali kama.Kwa nini wanachukiwa?
Kwahyo wakifanya kazi 24 ndio wawe wanabambika watu kesi na kuonea raia. In short jeshi la police linahitaji reformation hata ya mafunzo na uadilifuSure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
Nyie mapolisi ndio wahalifu dawa yenu ni kama ya Hamza tu, tena Igp ameumizwa na hao askari mbona ameshindwa kuwaambia hao mapolice wawe waadilifu?Hawachukiwi na watu wote, wanaowachukia ni baadhi tu ya raia kutokana na sababu mbalimbali kama.
1. Baadhi ya wananchi ni wahalifu adui yao ni Polisi.
2. Baadhi ya Polisi (wachache sana) hawazingatii kufanya kazi kwa miiko ya Jeshi la Polisi.
3. Baadhi ya raia wanasikia tu kuwa Polisi ni wabaya na wanaamini bila kujiridhisha.
4. Baadhi ya raia hata hawajui majukumu ya Polisi na hawataki kuyaelewa.
5. Hakuna elimu ya kutosha ya kuwafahamisha raia majukumu ya Polisi.
6. Baadhi ya Polisi wanajiweka kando na raia. (Mtoto akimwona Polisi anakimbia anamwogopa kwani kila akimwona basi anakuja kukamata wahalifu, hajawahi kumwona akishirikiana na raia ktk jambo lolote zuri)
7. Baadhi ya Polisi ni wakali sana hata kwenye jambo lisilohitaji kufanyika kwa ukali, wanatumia nguvu kupita busara. Inasababisha Polisi kumwona
kila raia ni mhalifu, hali kadhalika raia naye kumwona kila Polisi ni Adui.
8.Baadhi ya Polisi wanawadharau raia, hivyo kukosa ushirikiano wa karibu na raia.
9. Baadhi ya Polisi wanawatisha raia. Wanajiweka katia hali ya kutisha.
Hata raia akiona jambo baya mahali anaogopa kuliripoti Polisi ili kuondokana na hasara anayoweza kuipata binafsi kama, kugeuziwa kesi nk.
10. Ukosefu wa Elimu ya kutosha ya "Mahusiano ya Polisi na Raia" yaani ( Civil Police Relations) katika jamii ya Police na Raia.
Kuna haja ya kusisitiza mtaala wa (Thamani ya Raia kwa Polisi)
Katika vyuo vyetu vya Polisi.
Pia Nadharia ya Polisi Shirikishi itiliwe mkazo.
Elimu ya, wajibu wa Polisi, inabidi nayo itolewe kwa vijana mashuleni na kwa wananchi wote. Ili wajue majukumu yao halisi na wasaidiane nao kwa kiwango gani.
Machache ninayoweza kusema.
Kwa maoni yako unatakaNyie mapolisi ndio wahalifu dawa yenu ni kama ya Hamza tu, tena Igp ameumizwa na hao askari mbona ameshindwa kuwaambia hao mapolice wawe waadilifu?
Hakuna polisi anayefanya kazi "masaa 24" ukiona kazidisha saa 24 , basi ana issue zake binafsi!Sure.
Polisi wetu wanafanya kazi masaa 24. hakuna kulala iwe Mvua liwe Jua.
Tena kazi hatari za kupambana na Wahalifu wa aina zote ili kumlinda Mwananchi wa Mjini, Vijijini na Vitongoji vyake vya mbali sana huko.
Usiku wa manane wako kazini iwe Mvua Liwe Jua.
Na maisha yao tunayaona yalivyo duni sana.
Kipato chao ni duni.
Kazi ya Jeshi liwe la Polisi
ni ya kujitolea tu, malipo yao ni kama Posho tu ya Asante kwa kazi ngumu.
Kwa nchi zetu za dunia ya Tatu na ya Pili, tunashindwa kuwalipa watumishi wa Jeshi la Polisi sawasawa na kazi zao.
Kutokana na Uchumi mdogo.
What is mislead hapo?Misleading
Wapi hujaelewa?What is mislead hapo?
YoteWapi hujaelewa?
Unahitaji kujua nn mkuuYote