UONGO ulikatazwa kwa sababu madhara yake ni mengi ikiwemo kuondoa uaminifu kwa mwenye kudanganya,
WAMERAKANI wamekuwa waongo sana katika kufanikisha mambo yao mengi ya dhuluma,
Itakuwa ni kosa kubwa kwa mtu kuweza kuwaamini sio kwenye issue ya OSAMA TU bali hata kwenye mambo mengi,
Kuna link ntaiweka baadae hapa ikionesha wakuu wa CIA wakikiri mbele ya tume maalum ya senate kuwa wamekuwa wakitumia MEDIA KUSAMBAZA UONGO,
KAMA wanaweza kudanganya DUNIA kuwa watu waliuliwa ORLANDO kwenye pub ya mashoga wakati sio kweli kabisa hawa watu hawatakiwi kuaminiwa kwa chochote.....