CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 459
P
PERFECT!Nawajibika na maandishi na mtazamo wangu siwajibiki na tafsiri zako
PERFECT!Nawajibika na maandishi na mtazamo wangu siwajibiki na tafsiri zako
Alipouawa na wamarekani,Alqueda wenyewe walitangaza kwamba kiongozi wao ameuawa na watalipa kisasi.Pia wakamchagua na mrithi wake.Sasa watu wanaposema hajafa,je hao Alqueda nao walinunuliwa wakubali uongo?Hiyo dhana ya wamarekani kutomuua Osama huwa inanipa maswali.
1.kama hakuuliwa mbona hakujitokeza kupinga?
2.kama alikufa kabla ya oparesheni mbona wafuasi wake walikuwa kimya mda wote kipindi wamarekani wanadai bado yupo hai mara kaibuka kasema hili na lile,mbona hawakusema kama kafa?
Au unamfananisha na Habinder seti singh hata huko gerezani wafungwa wengi bado wana amini hivyo.Bin Laden mbona anadunda kitaa tuu...haja dead yule
Cheza na mlungula wewe!!Sasa watu wanaposema hajafa,je hao Alqueda nao walinunuliwa wakubali uongo?
Kwahiyo hata hii ni 7000/=? Au 3500/=?Ujinga tuu.. Wala sijaona Point yoyote hapa.
bima tuWaisrael walipanga kwenye TWIN TOWERS na kukata bima kubwa sana kwa ajili ya maduka yao,na wao ndiyo waliolipua TWIN TOWERS kwa ndege ili WALIPWE BIMA.
NI KAZI YA WAYAHUDI(ambao siyo wakristo)kwaajili ya BIMA.
weka picha au hata ka audio au vp mkuuAlipouawa na wamarekani,Alqueda wenyewe walitangaza kwamba kiongozi wao ameuawa na watalipa kisasi.Pia wakamchagua na mrithi wake.Sasa watu wanaposema hajafa,je hao Alqueda nao walinunuliwa wakubali uongo?
weka picha au hata ka audio au vp mkuu
CIA agent mashuhuri kabisa! Ati yuko mafichoni uongo uongo tu.Ayman al-Zawahiri,
Ebu kamuulize yule jamaa anayeaka kujenga Islamic state ndani ya USA....atakupa nondo za kutosha.Mmh dhana mpya hii ambayo sijawahi kuisikia
The aim was to wipe him and his "legacy" of the face of the earth. Like he never existed.What I believe is that Osama bin Laden is dead,but what I don't understand is the reason why he was buried deep in the sea.
Kwa hiyo AL-Qaeda haipo?CIA agent mashuhuri kabisa! Ati yuko mafichoni uongo uongo tu.
Imetengezwa baada ya ombwe la ukomunisti kukosa wa kulijaza,hata kama hakuna adui tutamtengeneza ndivyo wasemavyo.Kwa hiyo AL-Qaeda haipo?