luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Umenikumbudha mkasa wa D.B. Cooper jinsi alivyotrka ndege na kupotea mpaka leo hajawahi kupatikana tena licha ya msako mkali wa FBI uliogharimu miaka 45.UONGO ulikatazwa kwa sababu madhara yake ni mengi ikiwemo kuondoa uaminifu kwa mwenye kudanganya,
WAMERAKANI wamekuwa waongo sana katika kufanikisha mambo yao mengi ya dhuluma,
Itakuwa ni kosa kubwa kwa mtu kuweza kuwaamini sio kwenye issue ya OSAMA TU bali hata kwenye mambo mengi,
Kuna link ntaiweka baadae hapa ikionesha wakuu wa CIA wakikiri mbele ya tume maalum ya senate kuwa wamekuwa wakitumia MEDIA KUSAMBAZA UONGO,
KAMA wanaweza kudanganya DUNIA kuwa watu waliuliwa ORLANDO kwenye pub ya mashoga wakati sio kweli kabisa hawa watu hawatakiwi kuaminiwa kwa chochote.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanataka awe samaki
Inategemea kuwa positive kwa jambo gani, kuna mambo mengine ata ukiwa negative ,unakuwa sawa. Kwa mfano mi nipo negative dhidi ya waliomshambulia Lissu.
Unajua hao ni kama wale wale wanaambiwa lete vyeti..yeye anabishana mengineMtu baada ya kuweka fact Kama mwenzie ye anakaa kubisha tu waungwana uwanja huu upo huru toeni evidence basi ili watu wafaidike mtu akalia ubishi tu
Sio lazima Marekani na yeye anaweza kujitokeza kujibu mapigo zaidi hapo amedediBalali alifikwa na mauti huko amerika
By waziri mkuu Fulani kutoka Tanzania,q
Mm siamini kama Osama alikufa au hakufa labda marekani wenyewe watupe video yake wakati wanamshambulia,otherwise wasituletee story kama za kina balali na vichwa vya treni huku kwetu
IntrestingUmesema unaamini Osama Kweli aliuwawa, unaweza kuthibitisha hilo, kabla sijaja na mimi kukuthibitisha ya kwamba si Kweli wamerakani walimuua Osama.
Kuna tofauti kati ya Saddam na Osama, Saddam alikamatwa akiwa hai lakini Osama aliuwawa. Pia mazingira ya kupatikana kwao yalikuwa tofauti, waliokuwa wanamsaka Saddam walikuwa huru sana yaani Iraq chini ya utawala wa USA lakini waliokuwa wanamsaka Osama hawakuwa na uhuru wote kule Pakistan kiasi cha kuamua kuvamia ngome ya Osama kijeshi na kwa mashambulizi makali ya risasi dhidi ya walinzi wake.Mbona sadam hussein walimuanika ? Kwa jinsi alivyowasumbua wangemuanika uchi hawa wamarekan walivyowakorofi
Mm binafs siamin km osama kauliwa na wamarekan
Bali kama kufa ni kwa ahad yake na hawakuona hata maiti yake bali walichunguza na kujua amekufa
Ili kuonekana majasiri wakapuplish km wao ndo wamemuua
Heeeee funguka tupate mastori hapoUmesema unaamini Osama Kweli aliuwawa, unaweza kuthibitisha hilo, kabla sijaja na mimi kukuthibitisha ya kwamba si Kweli wamerakani walimuua Osama.
Hahaah sasa wewe nawe jipuMimi sijawahi kuamini existence ya mtu aliyeitwa Osama ambaye alikuwa gaidi