Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
Mullah Omar hajurikani, hakuna mtu yeyote mwenye picha ya Mullah Omar licha ya kwamba alikuwa Rais wa Afghanistan.Mullah Omar yuko wapi
Mullah Omar hajurikani, hakuna mtu yeyote mwenye picha ya Mullah Omar licha ya kwamba alikuwa Rais wa Afghanistan.Mullah Omar yuko wapi
Umeshawahi kumuona Mullah Omar?Mapango ya Tora bora huko Pashtum
Stori za kwenye gahawa hizi.Usije ukalogwa kuamini eti Mmarekani alimuua Osama
Osama yuko hai anakula maisha na ndie anayeisaidia Marekani kupambana na makundi ya kigaidi
upo kama mimi, naamini ni dhana ya kutunga kwa malengo mahususi.Mimi sijawahi kuamini existence ya mtu aliyeitwa Osama ambaye alikuwa gaidi
Uliwahi kufahamiana na Nyerere?Mimi siamini chochote hapo coz huyo osama sijawahi kufahamiana nae
Ulishawahi kufahamiana na babu mzaa babu yako?Uliwahi kufahamiana na Nyerere?
Sawa, itabidi basi ujiandae kuwajibika kwa kutumia mfano usio sahihi.Sizungumzii usahihi nazungumzia umiliki na uwajibikaji..
kumbuka tu kuwa sheikh Osama hakupigwa za kichwa bali kifuaniPicha za maiti yake ikiwa imeharibiwa na kipigo cha risasi zinekosolewa na wengi kuwa ni za kutengenezwa
![]()