Sambidundahk
Senior Member
- Aug 30, 2017
- 102
- 49
Jina Osama ni lakufikilika lililotengenezwa na wamarekani kwa manufaa yao binafsi. Hakujawahi kuwa na mtu aitwaye Osama(wazo binafsi)
Hiyo dhana ya wamarekani kutomuua Osama huwa inanipa maswali.
1.kama hakuuliwa mbona hakujitokeza kupinga?
2.kama alikufa kabla ya oparesheni mbona wafuasi wake walikuwa kimya mda wote kipindi wamarekani wanadai bado yupo hai mara kaibuka kasema hili na lile,mbona hawakusema kama kafa?
Any concrete evidence?Imetengezwa baada ya ombwe la ukomunisti kukosa wa kulijaza,hata kama hakuna adui tutamtengeneza ndivyo wasemavyo.
Miss you more more.

Walizingatia imani yake ya kiislamu kuwa hairuhusu maiti kuchomwa,na wasingeweza kumzika ardhini kuhofia kuwa ni sehemu ya kuhiji na kuwa kitovu cha ugaidi
Suluhisho ni kumzika baharini kwa mujibu wa imani yake!
Mbona sadam hussein walimuanika ? Kwa jinsi alivyowasumbua wangemuanika uchi hawa wamarekan walivyowakorofi
Mm binafs siamin km osama kauliwa na wamarekan
Bali kama kufa ni kwa ahad yake na hawakuona hata maiti yake bali walichunguza na kujua amekufa
Ili kuonekana majasiri wakapuplish km wao ndo wamemuua
Kaka majini yameumbwa na Mungu huyu aliyeumba waafrika na wazungu.. inawezekanaje waliotuletea dini wasijue kama kuna viumbe vinaitwa majini?!.. kuna tofauti kati ya majini na wachawi.Heee kumbe na wao wana nguvu za Giza mi nkadhani mambo hayo ya sie waswahili tu
Osama alikufa natural death kutokana na maradhi ya figo huko kwenye mapango ya kandahar,cha ajabu NAVY SEALS TEAM SIX ambao ndio inasemekana walifumua ubongo wa Usama mbona waliuliwa woote kwa kuchomwa kama ndafu.ili kuficha siri.
Well noted
Why Islamism Can't Be Compared to Communism | HuffPostAny concrete evidence?
Ilikuwepo lakini haina ukweli, wayahudi wengi pia walikufa pale.Mmh dhana mpya hii ambayo sijawahi kuisikia
Kwa jibu hili, huyu jamaa ata unstall jamii forumNawajibika na maandishi na mtazamo wangu siwajibiki na tafsiri zako
Mjinga sana yule jamaa.![]()
![]()
![]()
but kaka wapuuzi huwa hawajibiwi
Wazo la kijinga kutoka kwa mtu mjinga.Jina Osama ni lakufikilika lililotengenezwa na wamarekani kwa manufaa yao binafsi. Hakujawahi kuwa na mtu aitwaye Osama(wazo binafsi)