Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

Kwanini Wamarekani walimzika Osama baharini?

Osama hajawahi fanya kazi ya kijasusi na USA,kwenye ile War na Usovient Union USA alikua ni mfadhiri tuu wa mataifa ya uislamu Saudi Arabia,Afghanstan na mengine dhidi ya Usovient
USA alitoa pesa tuu kwa haya mataifa ya kiislam,hakutoa hata Military training, baada ya hii vita Osama ndo akaigeuka nchi yake Saudi Arabia akaxema inakubali msaada kutoka kwa Taifa chafu yenye Ideology ya uongozi usio wa haki,ku support ushoga na mambo mengi ambayo ni kinyume na Dini ya Uislam ikiwa nipamoja na kuusika na vifo vya waislam middle east
Baada ya kufarakana na nchi yake Saudi Arabia akaenda Afghanistan na baadae Sudan na kurud tena Afghanistan,Hadi wakat anahama Afghanistan Osama alikua kwenye list ya 10 most wanted people ya Jeshi ya Marekani
Brilliant....kuna muendelezo wa hii mkuu?
 
Muda wa utawala wa Al Qa'ida uliisha CIA wakafunga jarada kuiacha IS ichukue nafac yake ya utawala.
 
Dunia imeachwa njia panda kuhusiana na kifo na mazishi ya the world most wanted creature Osama bin laden.... Mpaka sasa kuna pande mbili... Upande wa kwanza ukiamini kuwa Osama ni kweli aliuawa na upande wa pili ukiwa na mashaka juu ya kifo hicho.

Mimi nimechagua upande wa kuamini kifo chake hivyo nitaenda na bit hiyo hata kama mojawapo ya dhana za kijasusi za CIA ni kupenda kuaminisha uma kinyume cha uhalisia na ukweli View attachment 610950na nitaendelea kuamini hivyo mpaka hapo ukweli mwingine wenye ithibati zisizotia shaka utakapoanikwa.

Osama ni pando na zao la wamarekani kwenye vita ile ya wasoviet kwenye milima mirefu na mabonde ya Afghanistan... Osama akiwa ni jasusi aliyefanya kazi yake kwa mafanikio na umahiri mkubwa dhidi ya warusi, akiwafanyia kazi wamarekani miaka ile ya 80.

Ni mpaka pale alipokuja kuwageuka mwaka 1991, pengine ni baada ya kumtelekeza (kama kawaida yao wamarekani ), akiwa ni askari command na jasusi mbobezi mwenye maarifa mengi juu ya vita na propaganda zake, lakini pia akiwa na cash ya kutosha Osama aliwageuka wamarekani. Yaliyofuatia yote yanajulikana..

Pigo lile la majengo pacha ya THE WORLD TRADE CENTER.... vita ya Afghanistan na kumsaka Osama kwenye milima ya Tora bora na tani za mabomu ya kila aina yaliyoshushwa kule, mashambulizi mbalimbali yaliyofuatia duniani kwenye mashina ya wamarekani na kumsaka kwa gharama kubwa na muda mrefu...

Wamarekani walifikia kumdhani huyu si kiumbe wa kawaida bali jini... Yani Osama bin laden ni jinimtu.

CIA wana kila nyenzo kwenye mapambano na kupata habari, wana mpaka kitengo cha siri sana cha mambo ya giza na huwa hawapuuzi dhana yoyote ile mpaka waithibitishe vinginevyo.

Mengi yaliyofanyika kwenye msako wake hayajasimuliwa, muda ukifika yatasimuliwa.. Lakini hili la kudhani ni kiumbe jini lilipata nguvu kubwa kwakuwa pamoja na kuwa na nguvu kubwa za kijasusi, tech, mitambo ya kijeshi nknk lakini walishindwa kumpata
Jini makazi yake ni baharini, lakini jini mkorofi makazi yake ni ndani ya chupa iliyofungwa vizuri na kutupwa baharini View attachment 610951kuna simulizi kuhusu jini ndani ya chupa/kibuyu cha ajabu.

Walichokifanya wamarekani hakina tofauti na hekaya za jini ndani ya chupa... Baada ya kumpata walimuua na kumfungia kwenye chupa ngumu (jeneza).. Kisha likafungwa vifaa vya mawasiliano na kwenda kulichimbia baharini kwenye kina kirefu cha maji na wanapajua.

Hadithi za kusema walitaka kupoteza kumbukumbu zake sio za kweli kabisa, wangeweza kumchoma moto(cremation) ama hata kumtumbukiza kwenye pipa la acid nknk ... Tabu yote ya nini kwenda kumzika baharini?

Japo hawawezi kukubali kwa sasa lakini wamarekani waliamini Osama ni jini korofi na akipatikana panapomfaa ni ndani ya chupa baharini
Kwa sababu
 
Snowden hajakamatwa na USA, yupo Russia anakula bata,cause aliwapa siri za CIA jinsi wanavyoifuatilia RUSSIA walitarajia marekani kama uhusiano utarejea vizuri baada ya TRUMP kushinda, lakini bado uhusiano haujatengemaa wanashindwa kumwingia Putin,
 
Snowden yupo Russia anakula bata,cause aliwapa siri za CIA jinsi wanavyoifuatilia RUSSIA walitarajia marekani kama uhusiano utarejea vizuri baada ya TRUMP kushinda, lakini bado uhusiano haujatengemaa wanashindwa kumwingia Putin, issue ya kifo cha Osama ni kweli,kuhusu bahari kuzikwa ilikuwa vile kw sababu hawakuamini kama kafa ili kujiridhisha lazima wamzamishe na zege la cement.
 
Osama alishakufa, Angekuwa hai angeshajirekodi mikanda Yake na kuitoa hadharani kama alivyokuwa akifanyaga!! ALITUPWA BAHARINI Ili kuzuia washenzi wenzake kuja kuliabudu kaburi lake, Pili, Kaburi lake lingeweza kutumiwa kuingizia pesa na pesa hizo zingeweza kutumika kuuendeleza ugaidi wake. Sadamu hakuwa gaidi. Osama alikuwa gaidi. ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom