Hapa ndipo mimi nafurahi sana kukutana na watu wenye Akili kubwa.Nawajibika na maandishi na mtazamo wangu siwajibiki na tafsiri zako
Yaani mnajibizana kwa kutumia Akili kubwa sana hadi raha,..
Napenda JF kwa sababu tu kuna watu waliojaliwa Akili ndefu kama za kwenu.
Mungu awabariki sana.