Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

Mkuu ulipoaanza kuelezea nilijua kuwa utaweka hitimisho la jibu ila umetuacha njiani, hebu malizia basi wewe ni mtu sahihi kutupa jibu
Ha ha haaaa. Sina jibu la uhakika mkuu just kudhania tu
Me naona ile kusimama, kutembeatembea wakati wa kusomesha na kuandika. Kufanya kazi masaa machache, kushare knowledge...labda inaweza kuwa ndio sababu.
 
Ha ha haaaa. Sina jibu la uhakika mkuu just kudhania tu
Me naona ile kusimama, kutembeatembea wakati wa kusomesha na kuandika. Kufanya kazi masaa machache, kushare knowledge...labda inaweza kuwa ndio sababu.
inawezekana kabisa
 
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?

Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
Kuongea na kutembea kwingi ni zoezi kwao, kuna utafiti ulifanyika ikaonekana hata wahubiri wa kufokafoka hawazeeki kwakuwa mussles za usoni ziko busy muda wote
 
sababu ya waalimu wazamani kutozeeka haraka hawakufanya kazi ngumu za kuchosha mwili, alafu wako pressure free, sababu ya uhakika wa kumudu mahitaji yao ya msingi. Kutembea mda mrefu kunafanya mwili unakuwa active, wengi wanauelewa mpana kuhusu elimu lishe hivyo wengi kuzingatia . Kundi lingine katika jamii ambalo nalo linasemekana hawazeeki haraka ni wachungaji wa makanisa baadhi sababu ,life lao na waalimu wa tz ni kama vinaendana.
 
images (16).jpg
 
Back
Top Bottom