Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 167,496
- 185,694
Hahaha utabiri wa Shekhe nani huu...
Ngoja tuone...
Hahaha utabiri wa Shekhe nani huu...
Naomba niwe mshenga mkuu😂Mvumilivu hula mvivu, utamu hauna siri...
Tatizo Evelyn Salt PM yake kafunga na makufuli kama yote haiingiliki...Naomba niwe mshenga mkuu😂
Wewe tukubaliane hiyo ni kazi ndogo kwangu, nitakuunganisha naye kirahisi sana.Tatizo Evelyn Salt PM yake kafunga na makufuli kama yote haiingiliki...
Halafu pia inategemea, kama wewe unayeuliza swali una hela basi yeye hajaolewa LAKINI kama huna hela usijisumbue kabisa maana huyo ni mke wa mtu...🤣😂🤣😂Are you married...
Acha tu😂😂😂😂😂😂😂 Full mandevu hadi unawaza sijui niseme shkamoo sijui niseme za saizi.....
Hizi fitna sasa... Evelyn Salt njoo uone fitina hizi hahahaHalafu pia inategemea, kama wewe unayeuliza swali una hela basi yeye hajaolewa LAKINI kama huna hela usijisumbue kabisa maana huyo ni mke wa mtu...🤣😂🤣😂
Sihitaji msaada najiweza mwenyewe...Wewe tukubaliane hiyo ni kazi ndogo kwangu, nitakuunganisha naye kirahisi sana.
Evelyn Salt 😂
HUwezi kujitosheleza, ndio maana umeukosa huo mpenyo😂Sihitaji msaada najiweza mwenyewe...
Ila kinachohitajika ni upenyo mdogo sana...
Usiache kuja iko na sawadi ako bonge la dadaHapana chezeiya Smart911 mutu yenye nyota yake jf😁😁😂😂!
Kila la kheri kwao
Call me later narudi kurrarra Mimi 😴😴💤💤💤💤( in kuryas voice)
Ndio maana uko vere upstairs 😊Me nimeacha kufundisha miaka mingi sasa, ila kitendo cha kuwahi kuwa mwalimu tu bhaass...wanangu wote nilowasomesha now kama tupo sawa tu
Na hii Imekuwa hivi miaka na miaka karibu kwa walimu wote. Siri ni nini haswa?