Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,387
- 24,735
Ni binadamu gani asiyeezeeka mbona tunapigana sana kamba humu?
Simple life inaweza kuwa sababuKwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
Umeoa afande? 😁Dah imenitafakarisha😄
Acha uchokozi 😆😆😆 ila hiyo mamaa ni nondo watu hawajui tuUmeoa afande? 😁
Polisi wakistaafu ndio wanakumbuka hawana nyumba za kuishi. Kazi yao ina laana kubwaUalimu ni kazi yenye baraka kutoka Kwa MUNGU na wanadamu pia.....jiulize kwanini polisi wakistaafu wanaugua stroke?
Na sahivi hayupo home kaondoka na difenda kaenda doria 😂😂Acha uchokozi 😆😆😆 ila hiyo mamaa ni nondo watu hawajui tu
Hawafanyi kwa hiari yao kama wanavyolazimishwa kuchangia na kushiriki mbio za mwenge.Si mnasemaga wanashiriki kuchakachua uchaguzi. Chakachueni na nyinyi msizeeke.
Hapana mkuu ni primary nilikuwa dogo tu, sema nilikuwa na uelewa mkubwa kupindukia nadhani ndio sababu alikuwa ananipenda. Shida ilikuwa ni aina ya yale mapenzi, yaani japo nilikuwa sijaingia kwenye ulimwengu wa mahusiano lakini nilikuwa nahisi kabisa kwamba haya sio mapenzi ya kawaida.Ulimega tunda? 😎.
Tambua kuwa ulichezea golden chance mkuu.Hapana mkuu ni primary nilikuwa dogo tu, sema nilikuwa na uelewa mkubwa kupindukia nadhani ndio sababu alikuwa ananipenda. Shida ilikuwa ni aina ya yale mapenzi, yaani japo nilikuwa sijaingia kwenye ulimwengu wa mahusiano lakini nilikuwa nahisi kabisa kwamba haya sio mapenzi ya kawaida.
😂😂😂 usingekuwa na huo ujasiri na ule umri labda kama amekuta sehemu hatarishi yeye kwa lengo la kukubaka.Tambua kuwa ulichezea golden chance mkuu.
Mi ningemdinya tu.
Hahaha 😂, hiyo ilikuwa noma sana.😂😂😂 usingekuwa na huo ujasiri na ule umri labda kama amekuta sehemu hatarishi yeye kwa lengo la kukubaka.
Kwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli
😂😂😂 roho iliniuma sana alipopewa ukuu wa shule skendo zikamwagika mtaani eti kwamba alidinywa na mkuu aliyetoka ndiyo akasogezewa hiyo keki.Hahaha 😂, hiyo ilikuwa noma sana.
Alikuwa Kabila gani mkuu? 😃😂😂😂 roho iliniuma sana alipopewa ukuu wa shule skendo zikamwagika mtaani eti kwamba alidinywa na mkuu aliyetoka ndiyo akasogezewa hiyo keki.
Nilihisi kama kabanduliwa demu wangu, sema maneno hayo yalilandana na ukweli maana yule ticha alikuwa kichwa maji hadi wanafunzi tulikuwa tunajua, walikuwepo ambao wanamzidi kila sifa kwa asilimia kubwa ila yeye alikimbiza kwa ulimbwende na pua yake ndefu kama mzungu.
Kusoma na kufundisha mara Kwa mara ni dawa nzuri kwa afya ya ubongoKwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
Wewe Umemaliza kabisaMaisha ya Mwalimu ni MAZOEZI tosha..
Amka 11 kulala 2 Usiku
Mazoezi ya Wanafunzi na yeye lazima ashiriki
Michezo ya Wanafunzi na yeye lazima ashiriki
Kila anachofanya mwanafunzi lazima na yeye Ashiriki.
Mwili wa Mwalimu upo MAZOEZINI muda wote, ni Kazi inayohusisha Mwili kwa 95%
Kusimama ni almost 90% maishani mwake
Kuandika mikono juu ubaoni,nk
Kuna vitu vingi sana ambavyo MWALIMU anafanya vinamfanya asizeeke
Tunarudi kwenye USHAURI WA DOKTA JANABI KWAMBA...
Mazoezi ni kila kitu maishani,ukitaka kuonekana kijana Milele,
Mazoezi na wala sio siri nyingine
Sina hakika lakini ni mtu wa kusini huku huku Mmakonde/mmwera/myao.Alikuwa Kabila gani mkuu? 😃
Duh, hebu tafuta nambari yake ya simu unipatie 😎Sina hakika lakini ni mtu wa kusini huku huku Mmakonde/mmwera/myao.