Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,907
- 193,931
Are you a teacher...Kwa hapa Dodoma, no 😁
Are you a teacher...Kwa hapa Dodoma, no 😁
No, Afande Fetty wa mikoroshini.....Are you a teacher...
Aisee hili ni kweli,Kuongea na kutembea kwingi ni zoezi kwao, kuna utafiti ulifanyika ikaonekana hata wahubiri wa kufokafoka hawazeeki kwakuwa mussles za usoni ziko busy muda wote
Ndugu nimepiga O-level Buyenzi🤝🏿Kweli kiongozi Kuna mwalimu alimfundisha Mzee wangu ni maarufu kule buhigwe anaitwa juma kitiba
Natabiri mwaka hautaishi...nyie itakuwa tayari😂No, Afande Fetty wa mikoroshini.....
Shalll i Marry you afande Fatuma...No, Afande Fetty wa mikoroshini.....
Mwalimu anaongea sana kupitia kuongea anachoma mafuta ndo maana hata mwalimu ambaye anafundisha has wa ni ngumu kukuta ni mnene au ana manyama uzembe pia walimu ni kazi ya baraka iliyojitenga na ufisadiMe nimeacha kufundisha miaka mingi sasa, ila kitendo cha kuwahi kuwa mwalimu tu bhaass...wanangu wote nilowasomesha now kama tupo sawa tu
Na hii Imekuwa hivi miaka na miaka karibu kwa walimu wote. Siri ni nini haswa?
😁😁😁
🤣Sio tu walimu watu wanaolipwa mshahara mdogo huwa hawazeeki
Ukofatilia Sana Mkuu katika maofisi tazama makarani wa mahakama
Tumeridhika na shida zetu🤣Kabisa yani, mi kuna siku nlikutana na mwalimu alienifundisha vidudu achana na sahivi sijui inaitwaje, dah madam P yupo vile vile yani kama binti.
Kuna kada mtu ana 40s tu kachoka hadi unahisi kadanganya umri
Na mimi nilianzia hapo 2007 baadae nikahama, ninayemzungumzia Siyo juma batinya ni juma kitibaNdugu nimepiga O-level Buyenzi🤝🏿
Utaweza kuvumilia kulala mwenyewe nikiwa doria kila siku usikuShalll i Marry you afande Fatuma...
Kwamba hadi mwaka uishe....Natabiri mwaka hautaishi...nyie itakuwa tayari😂
Hiyo 2007 nilikuwa la tatu Kibande primary, hata hao akina Juma siwafahamuNa mimi nilianzia hapo 2007 baadae nikahama, ninayemzungumzia Siyo juma batinya ni juma kitiba
Aniachie bonge la dada Mahondaw 😍😍😂
Mvumilivu hula mbivu, utamu hauna siri...Utaweza kuvumilia kulala mwenyewe nikiwa doria kila siku usiku
Evelyn Salt njoo tukulane kimasihata basNo, Afande Fetty wa mikoroshini.....