Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,399
- 10,853
Life hili Nimkumbuke mwalimu wangu wa shule ya msingi tena kwenye dalala.. ! sio rahisi
Wahuni watakuomba no za simu za huyu Mwalimu...
Ualimu ni kazi yenye baraka kutoka Kwa MUNGU na wanadamu pia.....jiulize kwanini polisi wakistaafu wanaugua stroke?Mimi nimezeeka kuliko mwalimu wangu wa sekondari. Pia walimu kwa asilimia kubwa wanaishi maisha marefu
Kwa sababu wanakula chaki.Kwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
The fact ni kwamba career yao inawalazimu kusimama muda mrefu na kutembembea sana tofauti na watendaji wanaokaa muda mrefu kwenye life time ya kikaziKwema wakuu,
Nimekutana na mwalimu kwenye daladala ambaye alinifundisha zaidi ya miaka 20 iliopita na bado yupo ngangari, muonekano ule ule,
Nilimtambua japo yeye hakunikumbuka kirahisi, nina mifano mingi ya walimu ambao bado wanaonekana vizuri hata baada ya miaka mingi kupita,
Swali langu ni je? kwanini walimu hawazeeki kirahisi? Huwa hawana stress za maisha kama watu wengine au siri ni nini?
Ama kweli walimu wamebarikiwa sana.
Kwa kweli walimu wapewe maua yaoAngalau leo walimu wamekumbukwa siyo kwa dharau zile za mpwayungu.
Dah nimemkumbuka mwalimu wangu primary alikuwa ananijali kinoma yaani chai ofisini na mambo mengi tu hadi walimu wengi wakawa wananiita mume wake. alikuwa pisi yule ticha ila alikuwa na roho ngumu kiasi jamii ilikuwa haimpendi, natamani kuonana nae tutete mawili matatu.
Hii argument ina-contradict na hoja ya mazoezi ambayo huchangia pakubwa walimu kutozeeka. Maana kama ni mazoezi sidhani kama walimu wanawafikia polisi kwa mazoezi.Ualimu ni kazi yenye baraka kutoka Kwa MUNGU na wanadamu pia.....jiulize kwanini polisi wakistaafu wanaugua stroke?
Ulimega tunda? 😎.Dah nimemkumbuka mwalimu wangu primary alikuwa ananijali kinoma yaani chai ofisini na mambo mengi tu hadi walimu wengi wakawa wananiita mume wake. alikuwa pisi yule ticha ila alikuwa na roho ngumu kiasi jamii ilikuwa haimpendi, natamani kuonana nae tutete mawili matatu.
Inawaepusha na kula kula ovyo na ulevi hence they stay healthy 🤣🤣🤣Sio tu walimu watu wanaolipwa mshahara mdogo huwa hawazeeki
Mkuu ulipoaanza kuelezea nilijua kuwa utaweka hitimisho la jibu ila umetuacha njiani, hebu malizia basi wewe ni mtu sahihi kutupa jibuMe nimeacha kufundisha miaka mingi sasa, ila kitendo cha kuwahi kuwa mwalimu tu bhaass...wanangu wote nilowasomesha now kama tupo sawa tu
Na hii Imekuwa hivi miaka na miaka karibu kwa walimu wote. Siri ni nini haswa?
Dah imenitafakarisha😄