loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,274
- 5,206
Safi sana dogo umerudisha avatar picha tuliyozoea.Ila mwanamke anaechupa anakuaga anatoa yote hapunji hata kidogo
Safi sana dogo umerudisha avatar picha tuliyozoea.Ila mwanamke anaechupa anakuaga anatoa yote hapunji hata kidogo
Wachoyooo balaaMm n mpare 😎
Ukweli itabaki kuwa kweli ila mwanamke bikra ni rahisi kumkunja na kuwa unavyotaka wewe sababu mbichi, vinginevyo unajitafutia kugongewa. Siku hizi watu target yao ni bikra ,wakikosa basi mwenye low body counts, hapo sasa mwenye low body counts napo shughuli kumjua.Hahaha Mkuu labda ukishamuoa na bikra yake muende porini.
Hiyo smart phone tu akiwa anaperuzi peruzi baada ya kupiga soga na shoga yake ghafla anakutana na link za watotowamelala anajionea midude.
Kama akiamua kufanyia kazi curiosity yake unadhani ile bikira uliyotoa ndo itamzuia?
Mwanamke mwenye nyege zake za kubadili ladha akishaamua kuziendekeza unadhani akitongozwa atakumbuka kwamba ulimtoa bikira ndo ukamuoa?
Kwahiyo unataka kusemaje, hahaha kwamba mwanamke malaya na mwanaume malaya hakuna utofauti wa matokeo ya umalaya wao?Ahsante, tena wee ndo umenipa na extra points, kumbe hata mwanamke Malaya akiwa provider bado atapata wenza kwa haraka na rahisi km ilivyo kwa wanaume ambapo umeweka mfano Shilole.
Tena sio yeye pekeee, wako wengi tyuuh, ambao pia sio provider, km kina Kajala, Paula, Zaylissa, etc.
Malezi na tabia ya watoto unatoka nje.ya uwanda wa majadiliano, hii ni case nyingine kabisa, maana tutaenda ambako pia hakutakua na haja, afu suala la malezi ya watoto ni MTAMBUKA.
Tubaki kwenye uchepukajii km mada inavyotaka
unona hilo maandiko yenyewe yanajua ni kazi kumtambua maana ana sifa nyingi nzuri,hapo andiko lenyewe linaguna je utaweza kumjuaaa huyo mke mwemaaaa??????????andiko linasisitiza linasema kima chake chapita kima cha marijani,halafu sifa zake zikaanza kutajwa,ni nadara sana kupata mke mwenye hizo sifs labda ufunge mwaka mzima ukiliombea hilo tu
Endelea kuotea!Kwa nnje ni mwembamba Tena English figure ila Wewe ni mnene kwa ndani, uzuri na utamu wako naujue mimi🥰
Mabwakuuu 🤣🤣🤣Nini hii??
Wasome hapa kwa utuo, sio wanajifanya washika neno na hapa hawaoni. Lol
Kwahiyo mpaka Yeye kujitoa ni Mchoyo??? 🤣🤣🤣Wachoyooo balaa
N Sawa na kusema mm naishi USA, siishi duniani.Hii mada pana sana, kwa sababu wapo wa daraja tofauti tofauti, wapo wanaotoa huduma kwa bei ya 500 - mamilioni, wengine wanasafirishwa kutoka nchi moja kwenda nyingine n.k Lakini chanzo cha haya yote ni tamaa.
Ni kachoyo mno!Kwahiyo mpaka Yeye kujitoa ni Mchoyo??? 🤣🤣🤣
Naomba Upunguze mwanga wa simu mommy usije umiza hayo macho ukashindwa kuniona vizuri eti,Endelea kuotea!
Unajua scriptures ni ngumu sana kueleweka usomaji wake ni tofauti na magazeti 😂😂😂Wasome hapa kwa utuo, sio wanajifanya washika neno na hapa hawaoni. Lol
😂😂😂 ni humu tuu, dunia ya sasa umalaya hauna afadhari na hauchagui jinsia.Kwahiyo unataka kusemaje, hahaha kwamba mwanamke malaya na mwanaume malaya hakuna utofauti wa matokeo ya umalaya wao?
Mchoyo Kivipi yaani??? Hata kuanguka na kuvunja amri ya sita napo ni Mchoyo?Ni kachoyo mno!
😂😂😂😂Huyo hapo alivyokuwa akipanda ngazi kama ng'ombe anaelekea kuchinjwa.
View attachment 3555217
Lamomy
Kwa kweli Mabwakuu, 😂😂😂Mabwakuuu 🤣🤣🤣
Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!unona hilo maandiko yenyewe yanajua ni kazi kumtambua maana ana sifa nyingi nzuri,hapo andiko lenyewe linaguna je utaweza kumjuaaa huyo mke mwemaaaa??????????andiko linasisitiza linasema kima chake chapita kima cha marijani,halafu sifa zake zikaanza kutajwa,ni nadara sana kupata mke mwenye hizo sifs labda ufunge mwaka mzima ukiliombea hilo tu
bikra akijua ladha utamshika wewe si ndiyo kutafuta kafha kila konaUkweli itabaki kuwa kweli ila mwanamke bikra ni rahisi kumkunja na kuwa unavyotaka wewe sababu mbichi, vinginevyo unajitafutia kugongewa. Siku hizi watu target yao ni bikra ,wakikosa basi mwenye low body counts, hapo sasa mwenye low body counts napo shughuli kumjua.
Ukimuoa bikra hata yeye atawakazia mabinti zake wajitunze, siku hizi vibinti vidogo vipo shule,ila wazazi wanawajua maboyfriend wa watoto wao, siku hizi wazazi wanaona raha mabinti kubadilisha wanaume kisa wana hela na rudi palepale kwenye swala la uwajibikaji lina impact kubwa sana ,ila wewe unalichukulia poa kisa eti now jamii inabehave tofauti na zamani. Ndio maana siku hizi ndoa sio imara,Single Parenting kawaida,watoto wa mtahani kawaida ,ndoa kibao zina migogoro, ila ukiya angalia unarudi kulekule jamii haitaki kuwajibika.