Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Yes, hapa kuna kitu umeongea nikamkumbuka msanii wa kizazi hichi shiloe mwenye shishi food. Yeye anaolewa tu sijui anaoa sababu ni provider lakini unadhani mwanamke provider mwenye historia isiyofaa ni sawa sawa na mwanaume mwenye historia kama hiyo hiyo? NO, sababu ni kwamba mwanamke kapewa jukumu la maadili na jamii ya wanaume maana ndo walezi wa tabia za watoto.
Ahsante, tena wee ndo umenipa na extra points, kumbe hata mwanamke Malaya akiwa provider bado atapata wenza kwa haraka na rahisi km ilivyo kwa wanaume ambapo umeweka mfano Shilole.

Tena sio yeye pekeee, wako wengi tyuuh, ambao pia sio provider, km kina Kajala, Paula, Zaylissa, etc.

Malezi na tabia ya watoto unatoka nje.ya uwanda wa majadiliano, hii ni case nyingine kabisa, maana tutaenda ambako pia hakutakua na haja, afu suala la malezi ya watoto ni MTAMBUKA.

Tubaki kwenye uchepukajii km mada inavyotaka
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
wanaume tunapendelewa sana tukioa Mungu mwenyewe kasema tunapata vibali tunapata chombo chema sasa haya mengine huwa yanatokea wapi ?au sisi wanaume tunakosea kuchagua mpaka wanatusaliti wakijutia naao walikosea kuolewa na lijanaa ni kama amekutana na msukule
 
We tena , nisapoti hadi wanipige humu 🤣

Unajua nini mdogo wangu Coca, suala la mahusiano na ndoa ni very complicated na mimi sipendi kuwatia wanaume moyo kwa kuwaambia wanayoyata kuyasikia, ili tuelewane sote lazima tujenge tabia ya kuambiana ukweli.
Ninapo kupenda mahi, uko mkweli na muwazi, yaani hujigusi waja wataonaje? Wanataka nini? Wee unawapa wanachostahilii.

Yaan unajuaga kupiga sehemu sahihi haswaa.
😂😂😂😂
 
Umalaya n umalaya tu, hakuna umalaya mkubwa wala mdogo.
Huwez kusema muaji wa mtu mmoja n tofaut na muuaji wa watu kumi.​
Hii mada pana sana, kwa sababu wapo wa daraja tofauti tofauti, wapo wanaotoa huduma kwa bei ya 500 - mamilioni, wengine wanasafirishwa kutoka nchi moja kwenda nyingine n.k Lakini chanzo cha haya yote ni tamaa.​
 
Sasa bikra anakijuliwa wapi? Kukaa kwenye jamii iliyo kengeuka haina maana kwamba unakubaliana nayo, wewe unazani wanaishi kwenye zilizo ruhusu maswala uhalali wa ndoa za jinsia moja wote wanakubaliana nayo,kisa wanaishi kwenye mwaka 2026?

Kama jamii ile dhana ya uwajibikaji ipo kwa wachache sana, zamani wazazi walikuwa wanawajibika kwenye kumlea na kumfundisha mambo mema mtoto na binti alikuwa anawajibika kujitunza.Ndio maana hata ndoa,familia na jamii zilikuwa ni bora ,kila mtu anawajibika,wajibika kwa familia yako usiangalie trend ya jamii husika current inafanya nini.
Hahaha Mkuu labda ukishamuoa na bikra yake muende kuishi porini.

Hiyo smart phone tu akiwa anaperuzi peruzi baada ya kupiga soga na shoga yake ghafla anakutana na link za watotowamelala anajionea midude.

Kama akiamua kufanyia kazi curiosity yake unadhani ile bikira uliyotoa ndo itamzuia?

Mwanamke mwenye nyege zake za kubadili ladha akishaamua kuziendekeza unadhani akitongozwa atakumbuka kwamba ulimtoa bikira ndo ukamuoa?

Again, kitakachompa hofu mwanamke asizini ni standard zake alizojiwekea yeye wakati huo na standard zako wewe na hofu ya matokeo ya kukusaliti, ila nyege ni zile zile, hamu ni ile ile na curiosity ni zile zile kwa walioolewa na bikira na walioolewa bila bikira.
 
wanaume tunapendelewa sana tukioa Mungu mwenyewe kasema tunapata vibali tunapata chombo chema sasa haya mengine huwa yanatokea wapi au tunakosea kuchagua mpaka wanasaliti wakijutia amekutana na msukule
64BFAFE0-BCA1-4E47-8A7A-8082B593F088.jpeg
 
Takbir

Kama nakuheshimu Siwez kutembea na mkeo.
Allah akbar 🤝😊
Ila kweli ni dharau sana, nakumbuka mwaka 2008 naenda zangu kijijini kufika wilayani mvua ilinyesha sana siku hiyo.

Sasa nilikua nawasiliana na jamaa yangu Akaniambia usilale lodge nenda nyumbani utamkuta Shemeji yako. Na Mimi nipo huku upande wa pili sitaweza kuvuka maana mto ulikuwa umefurika hata kama unajua kuogelea namna gani lazima upigwe dafrau na ufe kabisaaa

Nikafika mpaka pale kwa jamaa alikuwa amejenga nyumba yake fresh japo haina umeme, nikajitambulisha nikakaribishwa.

Nikachemshiwa maji moto, wakati naenda kuoga akanipa sabuni Ya Geisha na Mimi nilikua na Shower Gel yangu aliniona Mzungu 🤣nikachinjiwa Kuku nikala ile usiku. Sasa Shemeji akanitolea godoro nilale pale sebureni. Na yeye akaja kulala pale pale mara aniwekee miguu mara mkono. Khaa 🤣 mara mnara huo nikapiga shoo japo ilikuwa mbovu Sanaa 🤣🤣🤣

Maana alikua anataka tena na tena na watu wa mikoani wana miguvu balaa.

Asubuhi kumekucha jamaa akaja akawa ananichangamkia lakini nikawa namdharau bila sababu 🤣🤣🤣

Sasa hapo kosa la nani?
Binti wa zamani usinihukunu Kaka yako 😂😂😂
 
Back
Top Bottom