Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,130
- 126,128
😂 We hayaSwali gani ambalo sijajibu? 😂😂😂
😂 We hayaSwali gani ambalo sijajibu? 😂😂😂
Sasa hiyo n more advanced.Na tunaotumia mbinu tu bila mwili?
Mimi binafsi sikubaliani na usaliti wa wanandoa. Uwe umefanywa na mwanaume au mwanamkeSasa mbona kelele au lawama zinajitokeza kwa wanawake wanao chepuka, ila kwa wanaume aaah.
Ndo maana yanajitokeza haya.
Umeona eeeh ndio maana nakwambia wewe ni wangu na chaguo Lako nimimi hata kama wewe ni mdogo kwangu ila unanifaa🤸Duhh mahusiano ya namna hii tayari hayanifai! Hawaheshimiani kwanz, hizo lugha wanazotumia duhh🙆🏽♀
Ina maana mpaka mwenye mke nae kadharaulika?Hapa n amewadharau wote.
Si nilisema pale, lile sio swali, ni jibu.😂 We haya
💯 lakini hii sio mathematics kwamba 1+1=11Two wrongs don't make it correct. Mwanaume anaechepuka ahukumiwe yeye binafsi kama mwanaume, na mwanamke anaechepuka ahukumiwe yeye binafsi kama mwanamke. Kusiwe na upande mmoja wa kuhalalisha uchepukaji wao kwa kurusha lawama upande mwingine. Je wanaume tukinywa sumu nanyi mtakunywa? jibu ni hapana, hii maana yake wanawake mnajua kipi chema kipi kibaya bila kujali mwanaume kafanya nini
Mke sahihi n yule anayeepuka ushawishi, aliyechepuka baada ya kupata vishawishi vingi na aliyechekupa Bila ushawishi hao wote hawana utofauti, hao wote n malaya.Unavijua vishawishi wewe😂🙌🏾
Swadaktaaaaa!!Mimi binafsi sikubaliani na usaliti wa wanandoa. Uwe umefanywa na mwanaume au mwanamke
Jibu linakuwa na alama ya kuuliza?Si nilisema pale, lile sio swali, ni jibu.
😂😂😂
Unanikoshaaa haswaaa!!!💯 lakini hii sio mathematics kwamba 1+1=11
Sayansi ya mahusiano yoyote yale iwe ndugu, urafiki, ndoa iko complicated. Tunapoijadili hatuwezi kuacha kujadili “visababishi”.
Sio kwa maana ya kujustify bali kueleza hiki kimesababishwa na hiki na kile na kile ikawa hivi.
Yes, hapa kuna kitu umeongea nikamkumbuka msanii wa kizazi hichi shiloe mwenye shishi food. Yeye anaolewa tu sijui anaoa sababu ni provider lakini unadhani mwanamke provider mwenye historia isiyofaa ni sawa sawa na mwanaume mwenye historia kama hiyo hiyo? NO, sababu ni kwamba mwanamke kapewa jukumu la maadili na jamii ya wanaume maana ndo walezi wa tabia za watoto.Swadaktaaa!
Wanaume watapata wenza kwa haraka, kwa sababu ya wao kuwa provider, unaelewa nini namaanisha maana ya kuwa provider.
Wewe ndo uliamua jibu uweke km swali.Jibu linakuwa na alama ya kuuliza?
We tena , nisapoti hadi wanipige humu 🤣Unanikoshaaa haswaaa!!!
Umalaya n umalaya tu, hakuna umalaya mkubwa wala mdogo.Wengi wanaofanya ile kazi walishazoea mashambulizi, ngozi ya ndani inakuwa kama ya kiganja cha mkono, kwa hiyo hawaumii zaidi ya kuitega tu.
We haya 😂Wewe ndo uliamua jibu uweke km swali.
😂😂😂
Sa umalaya gani hujaguswa?Umalaya na utapeli kwa pamoja, yani n 2 in 1
Kiben 10 una sipirit ya ujiamini sana🤔Umeona eeeh ndio maana nakwambia wewe ni wangu na chaguo Lako nimimi hata kama wewe ni mdogo kwangu ila unanifaa🤸
TakbirIna maana mpaka mwenye mke nae kadharaulika?