Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Ukweli itabaki kuwa kweli ila mwanamke bikra ni rahisi kumkunja na kuwa unavyotaka wewe sababu mbichi, vinginevyo unajitafutia kugongewa. Siku hizi watu target yao ni bikra ,wakikosa basi mwenye low body counts, hapo sasa mwenye low body counts napo shughuli kumjua.

Ukimuoa bikra hata yeye atawakazia mabinti zake wajitunze, siku hizi vibinti vidogo vipo shule,ila wazazi wanawajua maboyfriend wa watoto wao, siku hizi wazazi wanaona raha mabinti kubadilisha wanaume kisa wana hela na rudi palepale kwenye swala la uwajibikaji lina impact kubwa sana ,ila wewe unalichukulia poa kisa eti now jamii inabehave tofauti na zamani. Ndio maana siku hizi ndio sio imara,Single Parenting kawaida,watoto wa mtahani kawaida ,ndoa kibao zina migogoro, ila ukiya angalia unarudi kulekule jamii haitaki kuwajibika.
Sikupingi kuwa kupata mwanamke ambaye hajakutana na mwanaume kabla yako ni jambo sahihi na zuri kwa mwanaume, Ninachokupinga ni kuwa hiyo bikira ni guarantee ya kutokuzini.

Nakupinga kwa sababu wanawake wapo flexible, anaweza asiwe na tamaa ya simu nzuri, gari zuri miaka saba nyuma wakati unamuoa akiwa bikira ila from no where akatamani hivyo vitu na akaingiliwa mpaka matundu ambayo wewe hukuyatoa bikira so no guarantee.

Umemtoa bikra ya uke akiwa na miaka 21, anafikisha miaka 28 wanatokea wengine wanamtoa bikira ya tundu lingine, bikira ya mdomo, masikio sababu vipaumbele vyake vimebadilika si vile vya miaka 7 iliyopita.
 
Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
Makanisani wewe unawapenda hawa wa huku wanaopelekea moto motoni au sio humu tu, kanisani aaha
 
Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
Huu mtihan mgumu sana as long as una utashi, akili na ufahamu hapa huwa linabaki fumbo gumu sana
 
Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
Kwanza uwapende wanini eti? Wakati Mimi nipo, alafu hao wanaume wa kushinda makanisani wanakuwaga na matatizo sana ndio maana Mimi nikapewa wewe Yani tunaendana Hadi raha
 
Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
sasa unaombaje upate mtu sahihi na unaanza kuchagua kabla hujaletewa na Mungu ,hizo sifa hapo ni kwa mwanamke dunia ya kileo kupata mwanamke wa hivyo kama maandiko yalivyopigia mstari ni kazi sio ndogo,halafu msidanganyike wanaume wa makanisani ndiyo wanaume bora utajuta utasema bora wahuni wa kitaa
 
bikra akijua ladha utamshika wewe si ndiyo kutafuta kafha kila kona
Bikra sio kwamba hakengeuki, ila unapunguza probability ya kugongewa. Ukichukua sample ya bikra na wasio na bikra, then ukicalculculate basi kuna probability ndogo ya kugongwa, kulio ambaye sio bikra. Ila ndio jamii tunayo iona sasa hivi, kugongewa/kuchepuka kawaida, ndoa kuvunjika kawaida, migogoro kibao . Wewe unazani why ndo za zamani zilikuwa imara kuliko za sasa na tena nyingine zilikuwa za kimila.
 
Allah akbar 🤝😊
Ila kweli ni dharau sana, nakumbuka mwaka 2008 naenda zangu kijijini kufika wilayani mvua ilinyesha sana siku hiyo.

Sasa nilikua nawasiliana na jamaa yangu Akaniambia usilale lodge nenda nyumbani utamkuta Shemeji yako. Na Mimi nipo huku upande wa pili sitaweza kuvuka maana mto ulikuwa umefurika hata kama unajua kuogelea namna gani lazima upigwe dafrau na ufe kabisaaa

Nikafika mpaka pale kwa jamaa alikuwa amejenga nyumba yake fresh japo haina umeme, nikajitambulisha nikakaribishwa.

Nikachemshiwa maji moto, wakati naenda kuoga akanipa sabuni Ya Geisha na Mimi nilikua na Shower Gel yangu aliniona Mzungu 🤣nikachinjiwa Kuku nikala ile usiku. Sasa Shemeji akanitolea godoro nilale pale sebureni. Na yeye akaja kulala pale pale mara aniwekee miguu mara mkono. Khaa 🤣 mara mnara huo nikapiga shoo japo ilikuwa mbovu Sanaa 🤣🤣🤣

Maana alikua anataka tena na tena na watu wa mikoani wana miguvu balaa.

Asubuhi kumekucha jamaa akaja akawa ananichangamkia lakini nikawa namdharau bila sababu 🤣🤣🤣

Sasa hapo kosa la nani?
Binti wa zamani usinihukunu Kaka yako 😂😂😂
Ulikosea sana mkuu, jamaa amekufanyia wema Ila ww umeamua kuharibu wema huo kwa kugusa mali yake.

Ila amini usiamini, kuna Mshikaji wako wa faida anamkaza mkeo/Demu wako Ila ndo hvy Huwez kujua na hutokana ujue.

Hata wafanyakazi wa ndani wakishaonja dyudyu ya baba mwenye nyumba lazima walete dharau kwa mama.

Hii n nature.
 
😂😂😂 ni humu tuu, dunia ya sasa umalaya hauna afadhari na hauchagui jinsia.
Sasa tutakua tumeelewana.
Ok, nisikaze fuvu maana jamii kweli imebadilika kama kuna vijana wa kiume wanakimbiwa na mke sababu wametongozwa na wanaume wakakubali na kujengewa nyumba wazi wazi kabisa sembuse hili? Inawezekana.
 
Sikupingi kuwa kupata mwanamke ambaye hajakutana na mwanaume kabla yako ni jambo sahihi na zuri kwa mwanaume, Ninachokupinga ni kuwa hiyo bikira ni guarantee ya kutokuzini.

Nakupinga kwa sababu wanawake wapo flexible, anaweza asiwe na tamaa ya simu nzuri, gari zuri miaka saba nyuma wakati unamuoa akiwa bikira ila from no where akatamani hivyo vitu na akaingiliwa mpaka matundu ambayo wewe hukuyatoa bikira so no guarantee.

Umemtoa bikra ya uke akiwa na miaka 21, anafikisha miaka 28 wanatokea wengine wanamtoa bikira ya tundu lingine, bikira ya mdomo, masikio sababu vipaumbele vyake vimebadilika si vile vya miaka 7 iliyopita.
Ushajiuliza why na tumia neno probability?

Bikra sio kwamba hakengeuki, ila unapunguza probability ya kugongewa. Ukichukua sample ya bikra na wasio na bikra, then ukicalculculate basi kuna probability ndogo ya kugongwa, kulio ambaye sio bikra. Ila ndio jamii tunayo iona sasa hivi, kugongewa/kuchepuka kawaida, ndoa kuvunjika kawaida, migogoro kibao . Wewe unazani why ndo za zamani zilikuwa imara kuliko za sasa na tena nyingine zilikuwa za kimila.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom